Airtel huu ni ulaghai

Airtel huu ni ulaghai

musami

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
1,434
Reaction score
460
Leo nilijiunga na kifurushi cha wiki cha sh.1999,ambacho unapata dk 35 sms 1000 na mb 125.Cha kushangaza kabla ya kutumia internet salio lilionesha nina 0byte.Nimejaribu kuwapigia watu wa huduma kwa wateja,wanapokea halafu kabla sijamaliza kujieleza wanakata simu.Huu ni uhuni
 
Flora Msofe yuko AIRTEL hebu atusaidie kwenye hili.

cc. Flora Msofe
 
Leo nilijiunga na kifurushi cha wiki cha sh.1999,ambacho unapata dk 35 sms 1000 na mb 125.Cha kushangaza kabla ya kutumia internet salio lilionesha nina 0byte.Nimejaribu kuwapigia watu wa huduma kwa wateja,wanapokea halafu kabla sijamaliza kujieleza wanakata simu.Huu ni uhuni

mbona hata mm nlikutaga o bytes bt ikafungua net bila shida then baada ya mda nkaangalia tena wakanletea bytes zilizopo
 
Hata mm imeshanitokea mara mbili, na kila nikiwapigia wananiambia wanarekebisha ila nakaa mpaka muda wa kifurushi unaisha hawajanirudishia MB zangu!!
Na siku izi ukiwapigia kabla hawajapokea wanakata hela kwanza
 
Leo nilijiunga na kifurushi cha wiki cha sh.1999,ambacho unapata dk 35 sms 1000 na mb 125.Cha kushangaza kabla ya kutumia internet salio lilionesha nina 0byte.Nimejaribu kuwapigia watu wa huduma kwa wateja,wanapokea halafu kabla sijamaliza kujieleza wanakata simu.Huu ni uhuni

Pole sana mi yananikuta mara nyingi ukiwapigia mizinguo, nikadhani ni mie 2 ila kwa vile hatoki mtu najikaza 2,,,
 
Uwa zinabaki,Situmii simu kupiga soga,bali mazungumzo mafupi

upo sawa kabisa mie mwenyewe kinanitosha unatumia hela nyingi kwa zogo then unaingiza sh ngapi kwa zogo tangu shigongo atufundishe kuwa nati nilijifunza
 
Kama una smartphone zima internet kwanza kabla hujaingiza vocha na hakikisha unawasha internet baada ya kuingiza na KUUNGA kifurushi.
 
Back
Top Bottom