Airtel-HAKATWI MTU HAPA, NI KWELI ?

Airtel-HAKATWI MTU HAPA, NI KWELI ?

Mpucha

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
1,268
Reaction score
1,647
Sijawahi kutumua huduma ya Airtel money, ila naona matangazo yao "hakatwi mtu hapa" ni kweli ? mimi hainiingii akilini huduma hii iwe bure, na kama kuna gharama wanakata kinyume na wanavyoji promoti, TCRA wanalijua hili ?
 
ili kung'oa mzizi wa fitina ... JARIBU.
well, try it.
 
Hata mimi huwa silewi mawakala wao wanafaidika na nini kwa kushinda barabarani na kumsubiri mteja wa airtelmoney aje atoe bila kukatwa.Hebu mawakala na wajuvi tujuzeni kwa hili.
 
hii ni kweli nimejaribu kutoa tsh 200,000 sikuamini sijakatwa hata kumi,sasa sijui mbinu gani airtel wanatumia kuwalipa mawakala,kodi za serikali etc?!!
 
"hakatwi mtu "?kwani wewe unataka kukatwa?
 
Sijawahi kutumua huduma ya Airtel money, ila naona matangazo yao "hakatwi mtu hapa" ni kweli ? mimi hainiingii akilini huduma hii iwe bure, na kama kuna gharama wanakata kinyume na wanavyoji promoti, TCRA wanalijua hili ?

Wewe ungalikuwa hakimu basi ungalikuwa hakimu mbaya sana kwa sababu wewe unatoa hukumu pasipo kusikiliza maelezo ya pande zote ili ujilidhishe na habari hii nenda tcra,kisha kwa mawakala natumai utapata maelezo yatakayokuridhisha
 
========
Ha ka twi mtu hapa sasa ni bukheee tuma pesa kwa sheriii oh sherii
========
 
Wanachofanya AIRTEL ni kuwapa mawakala points kila wanapofanya muhamala wa fedha kwa wateja. Baada ya mwezi mmoja wanahesabu idadi ya points na kuwapa malipo. Hivyo mawakala hawalazimiki kuwakata wateja gharama za kufanya muhamala maana wanajua mwisho wa mwezi AIRTEL watatumiwa malipo kama gharama ya huduma hiyo.
 
Ahsante. vamda ulikuwa wapi mda woote huo kutupa elimu?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kuwa HAKATWI MTU inafanya kazi.

Wanachofanya AIRTEL ni kuvutia wateja kwani kwa siku za karibuni huduma ya AIRTEL MONEY ilikua inakaribia kufa kwani watu wengi sana walikua hawatumii.

Hii OFA ni ya miezi 3 na mawakala wote wa AIRTEL MONEY watapata double commision kwa kipindi hiki.

Mdau hii kitu ni kweli mtu hakatwi kwa kutuma na kupokea pesa au kutoa ila itakua kwa miezi mitatu tu.
 
Hata mimi huwa silewi mawakala wao wanafaidika na nini kwa kushinda barabarani na kumsubiri mteja wa airtelmoney aje atoe bila kukatwa.Hebu mawakala na wajuvi tujuzeni kwa hili.

Ni kweli hawakati, na mawakala wanawalipa wao tena mara mbili ya kamisheni yao stahiki na kila wiki wanatoa repoti kwa wakala.

Niliwahi kuwauliza wakasema eti wao sasa wanatoa ofa kwa wateja na mawakala wao kwa usumbufu waliowahi kuupata .
 
Ahsante mkuu,nime ku noki.
 
AHSANTE MKUU.

Ninyi PIPOW! MKIKATWA MANENO, MSIPOKATWA MANENO MNATAFUTA RIZONS. IN SHORT HAKATWI MTU HAPA. NA NIMEHAMISHA PESA ZANGU KUTOKA BANK NA MITANDAO MINGINE KISHA KUZIWEKA eaTELmoney koz hakatwi m2 hapa.
 
Nilibanwa na michakato ya kimaisha. Wakubwa wamebana angle zote.
 
in the short run kweli hakatwi mtu...waswahili wanasema mashine siku ya kwanza inasaga bure. infact wanachofanya airtel ni kuhamasisha wateja kutumia huduma yao...nadhani haipo popular kama m-pesa na tigopesa...lakini wakishapata watu wa kutosha lazima wataanza kukata...no free lunch in tz
 
Kuna jamaa mmoja wa tigo alikuwa ana-joke......"eti hawa eateli ni magovinda, au"?
 
Lol, ai heard airtel ni Uncircumcised na wapo kwenye mgomo hence 'hakatwi mtu'
 
Back
Top Bottom