SAMORE TOURE
Senior Member
- Aug 5, 2012
- 116
- 9
zinasumbua Vipi?? na Zinakataa Kivipi!! taja Na Aina Za Modems
Ni airtel na ttcl moderm....Ukizichomeka kwenye pc zina soma kabisa full network! Lakn unapo click connect inatoa report hi.. A connection to the remote computer could not be established.you might need to change the network setting for this connection..ila nikitumia kwenye pc nyingne ambayo ina window 7 inakubali
ni ZTE mkuuNimeuliza aina ys modem nikimaanisha kampuni sio provider... Aina za modem nyng tz ni huawei zte na alcatel
da mkuu hizo dashboad hata sielewi jinsi ya kuchangeJaribu kuchange dashboard tumia join air au metfone... Au ikiwezekana conectia pale chini kwenye Alama Ya network
Badilisha windows mkuu hiyo 8 program nyingi bado zinagoma.
da mkuu hizo dashboad hata sielewi jinsi ya kuchange