Airtel 4G wanajitahidi

Airtel 4G wanajitahidi

Mbona 4GB inaisha Bila hata 4G? Hapa nairemba remba tu sababu Nina hope itapandisha hio 4G, ila ikifika siku ya 5 haijapandisha nazimaliza GB zote nairudisha back bench laini yao, Kama ilipokuwa zamani.
Mbona kwangu inakamata Vizuri tu mda wote tena ni 4G yaani na ina download hadi 2.7MB/s
 
Mbona kwangu inakamata Vizuri tu mda wote tena ni 4G yaani na ina download hadi 2.7MB/s
Sisi hatujaanza kupata hip 4G tupo kwenye evolution bado, inakaa H+ dakika mbili, network inakataa Kisha inasearch upya inakuja Tena H+ etc, siku nzima Ni hivyo hivyo.
 
Mbona kwangu inakamata Vizuri tu mda wote tena ni
Mbona kwangu inakamata Vizuri tu mda wote tena ni 4G yaani na ina download hadi 2.7MB/s
Hata mimi nilivutiwa na line ya mshkaji maana ilikuwa I nasoma 4G vizuri tu tena 3Mb/sec kwa Idm ndo nikaamua kuchukua yangu ila matokeo ndiyo hayo nimefika hadi makao pale Morroco nikaambiwa baada ya 24-48 hrs Itakuwa poa but sivyo kabisa.
Siku ya 5 leo bado imestuck kwenye 3g hata uforce 4g only haisomi.
Hapo chini ni kwenye line ya mshkaji
4g.JPG
airtei 4g.JPG
 
Wenye 4G ya Airtel watupe feedback Kama ikipandisha 4G inaacha kukata kata,

Mpombote
Mimi nimesajili jumatano wiki hii. 4G imepanda jana jioni. Ilikata leo mcha ikarudi h+ kwa dakika chache then ikakaa fresh mpaka saa hizi iko vizuri
 
Sisi hatujaanza kupata hip 4G tupo kwenye evolution bado, inakaa H+ dakika mbili, network inakataa Kisha inasearch upya inakuja Tena H+ etc, siku nzima Ni hivyo hivyo.
Nadhani variation inatokea kulingaba na eneo
Hapa nilipo haisumbui kabisa
 
Mimi nimesajili jumatano wiki hii. 4G imepanda jana jioni. Ilikata leo mcha ikarudi h+ kwa dakika chache then ikakaa fresh mpaka saa hizi iko vizuri
Kabla haijapanda 4G kwako pia ilikuwa inakata kata?
 
Back
Top Bottom