Airtel 3.75 ~ gprs,edge?

kwa nini speed itofautiane kulinga na eneo, mfano mtu aliye karibu na mtambo wa Dar na yule wa Kigoma. Kazi ya minara ni nini? Nilidhani minara yote inatoa speed sawa na tofauti iwe ni umbali kutoka mnara ulipo na si location ya mnara

Kaka tatizo ni hiyo mitambo ya 3.75 kuifunga nchi nzima ni shughuli/Gharama, voda wenyewe 3G unapata mikoani tu, wilayani ni edge kwa kwenda mbele!
 
Kuna haja ya TCRA kuwa makini zaidi na hawa watu ,TIGO walianza kujitangaza wanatoa huduma ya 3.5 G wakati hata
vifaa havijafika nchini,
Airtel utakuta wameweka minara 2/3 hiyo 3.75G , halufu wanatangaza as if wameweka tz nzima , HUU NI UHUNI .
 
kwa nini speed itofautiane kulinga na eneo, mfano mtu aliye karibu na mtambo wa Dar na yule wa Kigoma. Kazi ya minara ni nini? Nilidhani minara yote inatoa speed sawa na tofauti iwe ni umbali kutoka mnara ulipo na si location ya mnara

Hapana minara ya kampuni moja ya Simu inatofautiana Transmitters/Receivers zilizofungwa.
Zlnatofautiana umri, Uwezo na usasa. Mitambo ya kisasa inafungwa mjini kwenye wateja wengi. Kampuni za simu haziwezi kubadili Transmitters zote kwa wakati mmoja!
Sisi wenzenu wa huku Samora tunainjoi 3.75 kwa sana!. Ndio sababu tunasema Hamia AIRTEL
 
samora ya wapi unaizungumzia wewe?? Mi natumia hapo mitaa ya posta mpya, bado iko magumashi. Page inafunguka baada ya 15 minutes. Muda mwingi inasoma edge. Pambaff airtel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…