Airport yetu ya Dar inanuka uozo wa rushwa!

Airport yetu ya Dar inanuka uozo wa rushwa!

kuna wengine wanabana pale kwenye mlango wa mwisho kutoka nje, wanaangalia paspot, same time wanakuomba dola yaani hao ni kuomba tu kilichobaki mfukoni.
 
airport ni mali ya watanzania wote, lkn wale waliopewa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali hujiona ni mali yao, dawa pekee ya kusimamia ukusanyaji ushuru wa haki, huduma za uhamiaji za haki na huduma za polisi za haki pamoja na usalama wa taifa, takukuru na idara zingine za umma ni kufanya kazi kwa pamoja, na hili rais ndiyo aliloliagiza mwanzoni tu , alipoingia madarakani lkn hajafanya ufuatiliaji wa utekelezaji,
 
Back
Top Bottom