KERO Airpor Terminal 2 kunatoa harufu. Serikali ishughulikie

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

P J O

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2024
Posts
241
Reaction score
315
Kuna siku nilikutana na jamaa mmoja mfanyabiashara anasafiri sana nje, anasema alikutana na mzungu siku Moja akamwambia Tanzania pananuka. Yeye anasema aliona kama Yuko offended lakini alipata nafasi kufikiria na Kwa experience ya safari zake alikiri ni kweli.

Anyways, KIla mwezi hua natembelea Airport terminal two Kwa shughuli binafsi, aise Kuna harufu sijui ni ya kinyesi au chamber ila pananuka sana.

Kwa Wageni wanaoingoa Tanzania lazima watutukane hata kabla hawajafika Buguruni na Kinyamwezi Pugu. Hii ni AIBU considering Tanzania tuna Wageni wengi watalii na ukubwa wa airport yetu.

Airport pananukaz serikali ishughulikie hili
 
Ukienda nje ya nchi UK,USA au Canada ukakaa huko miezi miwili tu siku ukirudi Tz ukitoka tu Airport kila sehemu utahisi kuna harufu mbaya inawezekana ni hiyo mitaro ya maji taka ndo inasababisha hivyo, ila ukiwa hapa ndani hiyo harufu huiskii ubongo umeshaona ni kitu cha kawaida
 
Kuna siku nilikutana na jamaa mmoja mfanyabiashara anasafiri sana nje, anasema alikutana na mzungu siku Moja akamwambia Tanzania pananuka. Yeye anasema aliona kama Yuko offended lakini alipata nafasi kufikiria na Kwa experience ya safari zake alikiri ni kweli.

Anyways, KIla mwezi hua natembelea Airport terminal two Kwa shughuli binafsi, aise Kuna harufu sijui ni ya kinyesi au chamber ila pananuka sana.

Kwa Wageni wanaoingoa Tanzania lazima watutukane hata kabla hawajafika Buguruni na Kinyamwezi Pugu. Hii ni AIBU considering Tanzania tuna Wageni wengi watalii na ukubwa wa airport yetu.

Airport pananukaz serikali ishughulikie hili
Sasa kuna sababu gani ya kuitelekeza termina 2? Badala ya kuboresha na kutanua wigo ninyi mnazidi kufinya matokeo yake nchi ikipata hiki inatelekeza ilichokuwa nacho na kushobokea kingine. Ni kama Masaki inavyobadilika kwa kasi kuelekea kuwa kama Posta au Kinondoni huku watu wakihamishia shobo Mbweni. Kwani kuna shida kwa mkoa kuwa na maeneo hata 15 kama Masaki?

Shida huwa ni hapo nchi inapokuwa inaongozwa na akina CHAKUPEWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom