#COVID19 Airlines za Tanzania na kisingizio cha Corona

Binti1

JF-Expert Member
Jul 8, 2013
662
1,745
Kwa muda sasa toka Corona ianze imekua ukisafiri safari za ndani either na Precision ama ATC hawatoi refreshments/vichangamsha mdomo kwa madai kua wanachukua tahadhari shida ya Corona.

Well and good, lakini hawa hawa Airlines wanajaza ndege bila kuacha umbali wa mita moja kati ya abiria (je hapa hatuwezi kupata Corona?) Ikumbukwe kule waiting lounge wameweka nafasi kati ya siti kutukinga na Corona ila ndani ya ndege ni tofauti.

Lately pia imekua sio lazima kuvaa Barakoa tofauti na mwanzo ambapo ilikua ni lazima kuvaa Barakoa wakati wa kuchek- in. Lakini sasa hivi wamelegeza masharti.

Swali langu linabaki. Je, kuzuia refreshment ndio hatua pekee dhidi ya Corona wakati tahadhari nyingine hawachukui?

Oooh wanatoa maji tu onboard - What's the point of giving water versus not handing snacks/refreshments?

Kwa mtazamo wangu They're are making profit kwa excuse ya Corona!
 
Si tunaambiwa Tanzania haina Corona?sasa tahadhari za nini?hapo ni upigaji tu kama zile fedha za EU.
 
Back
Top Bottom