God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,068
MKUU MUNGU AKUBARIKI KWA BUSARA ZAKO.WATANZANIA WATU WA AJABU SANA KWELIKWELI WAKATI ULE WA AWAMU YA 2 NA YA 3 NA YA 4 HATUKUWA NA NDEGE YA KITAIFA ZAIDI YA ILE YA RAIS PEKEE AMBAYO TULIKULA MPAKA NYASI NA IKANUNULIWA SASA KIPENZI CHA NCHI,MWANA WA NCHI BAADA YA KIPINDI CHOTE KILICHOPITA AMEAMUA KUTOAFIKI HALI ILIOKUWEPO NA KUAMUA KUANZA HIVI TENA BILA HATA YA WATANZANIA KULISHWA NYASI _ MNABEZA KIJINGA/ NA MH. RAIS AMEHAIDI ZINGINE 2 ZIPO NJIANI KUBWA./
AJABU SANA./ HAMNA SHUKRANI HATA KIDOGO?...has a nyie ukawa.
AMEN.Bado tu hamjaridhika? Bombardier zimeshaanza kazi, subirini tu tutafika hata Rome haiukujengwa kwa siku moja.
Hizo boeing na Airbus ni kama smartphone za Samsung na Iphone.. Hizi za kwetu ni kama zile siemens kidole gumba, sijui kama unazikumbuka?Me naomba kujuzwa tofauti ya Boeing, airbus na hzi ndege zetu. Maana napata shida sana, ni majina ya kampuni, au majina ya ukubwa wa ndege husika? Msaada tafadhali...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo boeing na Airbus ni kama smartphone za Samsung na Iphone.. Hizi za kwetu ni kama zile siemens kidole gumba, sijui kama unazikumbuka?
Hahaha mwanangu nilitaka tu kushea hiko kipandw cha mstari cha fid Q,Sio hatuna upendo, nimeweka hizi ili tunapokuwa tunajadili maswala ya Serikali inunue ndege kubwa muweze kuona kama miundombinu iliyokuwepo itawezesha hizo ndege kufanya kwa ufanisi??
Hizo boeing na Airbus ni kama smartphone za Samsung na Iphone.. Hizi za kwetu ni kama zile siemens kidole gumba, sijui kama unazikumbuka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anakuonaHizo boeing na Airbus ni kama smartphone za Samsung na Iphone.. Hizi za kwetu ni kama zile siemens kidole gumba, sijui kama unazikumbuka?
Airport ya wapi hii mkuu?
Picha za ndani zinafuata.
Hii ni pangaboi au Gulfstream ?
Pangaboi hiyo
...ni kwamba hilo kontena linatumika kubebea tu chakula kutoka huko vinakoandaliwa hadi uwanjani, ndani ya hilo kontena kuna kama vikontena vidogo vidogo (trolleys) ambavyo ndivyo vyenye chakula na ndivyo vinavyotolewa na kuingizwa kwenye ndege, kontena kubwa linarudishwa...Dah wabongo noma, sasa hicho chakula cha skychef kinaingiaje kwenye ndege? Hebu angalia Container za Skychef zinapakia chakula, yaani unabishana na picha
Hii ni pangaboi au Gulfstream ?
Unamdanganya nani ?
Airport ya wapi hii mkuu?
...ni kwamba hilo kontena linatumika kubebea tu chakula kutoka huko vinakoandaliwa hadi uwanjani, ndani ya hilo kontena kuna kama vikontena vidogo vidogo (trolleys) ambavyo ndivyo vyenye chakula na ndivyo vinavyotolewa na kuingizwa kwenye ndege, kontena kubwa linarudishwa...View attachment 417578View attachment 417579