mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,736
- 1,621
- Thread starter
-
- #21
Me naomba kujuzwa tofauti ya Boeing, airbus na hzi ndege zetu. Maana napata shida sana, ni majina ya kampuni, au majina ya ukubwa wa ndege husika? Msaada tafadhali...
Asante mkuu kwa kunipunguza matongotongo. Kwahiyo hao Boeing na airbus wao hawatengenezi ndege ndogo, pia ni hvyo kwa bombardier hawatengenezi ndege kubwa? Maana mijadala ya sasa mingi nnayoiona inanichanganya sana. Sielewi wananchi hawakutaka ndege ndogo (kama walitaka kubwa) au hawakutaka hyo kampuni iliyotengeneza ndege zetu?
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa ufahamu walau. Nakutakia kila la heriBoeing wanatengeneza, Boeing 737 ni ndogo, japo si ndogo sana, na ni ndege maarufu sana Duniani, hata ATC waliwahi kuwa nayo.
Airbus pia wanazo ndogo, hata hiyo wanayotumia Fastjet nafikiri ni Airbus.
Kama nilivyodokeza mwanzo ndege za Bombardier ni nzuri kwa nchi ambazo miundombinu sio mizuri.
Aisee, ilo kontenta linaingia kwa ndege!?
Kwa mbali British Airways ziko parking
Aisee, ilo kontenta linaingia kwa ndege!?
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa ufahamu walau. Nakutakia kila la heri
"viroli vya chakula" what you mean aisee!Hapana, kuna viroli vya chakula ndio vinaingia.
Bado tu hamjaridhika? Bombardier zimeshaanza kazi, subirini tu tutafika hata Rome haiukujengwa kwa siku moja.
Kwa mbali British Airways ziko parking
Mkuu sio kweli chakula hakipikiwi ndani. Kuna kampuni zinawauzia chakula. Kwa hapa bongo ndege zote (ikiwamo hiyo Qatar airways) wanauziwa chakula na kampuni ya LSG Sky Chefs. Wanapelekewa chakula kilichopikwa na kupozwa cold room kufikia temp ya 5% au pungufu ili kudhibiti bacteria wengi wa magonjwa hawa fanyi replication ktk joto dogo sana, wengi hufa kabisa. ndani ya ndege labda huvipasha tena ktk oven nadhani. Gas ndani ya ndege ni hatari (sina hakika hahisi kuhusu swala gas).
Boeing wanatengeneza, Boeing 737 ni ndogo, japo si ndogo sana, na ni ndege maarufu sana Duniani, hata ATC waliwahi kuwa nayo.
Airbus pia wanazo ndogo, hata hiyo wanayotumia Fastjet nafikiri ni Airbus.
Kama nilivyodokeza mwanzo ndege za Bombardier ni nzuri kwa nchi ambazo miundombinu sio mizuri.