mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,915
Kwanini mkuu? Mimi ni kati ya wale watu ambao damu yao hairuhusu vijidudu vya malariawe jamaa utakuwa unaumwa malaria
Kwanini mkuu? Mimi ni kati ya wale watu ambao damu yao hairuhusu vijidudu vya malariawe jamaa utakuwa unaumwa malaria
Mkuu nadhani airbus ndiyo ndege kubwa zaidi kwa upande wa ndege za abiria na hazikuwa zikitengenezwa kipindi hichomiaka ya 90s kulikuwa na ndege kubwa zaidi zilikuwa zinatua apo airport kama alliance airline
Zile zilikuwa ni boeing 747, kwa miaka ile kweli ndo zilikuwa ndege kubwa pekee, lakini nafasi huyo.kwa sasa imwchukuliwa na airbus a380 , ambayo nadhan frist comercial.fligh yake ilikuwa miaka ya 2000 (6 au 7) singapore ailrline ndo alikuwa wa kwanza kurusha a380, kabla ya hata air france, france ndiyo nchi ambapo airbus inatengenezwamiaka ya 90s kulikuwa na ndege kubwa zaidi zilikuwa zinatua apo airport kama alliance airline
Kwani imetua nyumbani kwa polepole?Hii habari sii nzuri kwa CHADEMA kabisaaaa
Napenda niwahakikishie watanzania kwamba ndege kubwa kubwa kama hii zitaendelea kutua kwa dharura.Hii habari sii nzuri kwa CHADEMA kabisaaaa
Hotuba umeandikiwa au linaloponyoka ndo hilo kama kawaida yako?Napenda niwahakikishie watanzania kwamba ndege kubwa kubwa kama hii zitaendelea kutua kwa dharura.
Hii ndiyo Tanzania ninayo itaka.
Sasa watu watapata kushuhudia ndege kubwa kubwa kwakuwa ilikuwa inatia aibu watu wanaziona kwenye tv wanahisi labda ni magorofa yaliyoanguka.
Najua kuna watu hawatofurahia wao kazi yao ni kupinga pinga tu, lakini ni kawaida watu wana namna hiyo wapuuzie.
We are in the right track...:
Kwa haya machache niseme utuaji wa ndege kubwa kwa dharura umezinduliwa rasmi..
Mbili? Airbus A380 wapi wanauza kwa hiyo bei? Hiyo ni zaidi ya trilion 9Wapi ? Ile trilioni 1.5 hainunui hizi mbili ?
Siku hizi kwa nini haziji mpaka tukapandie Nairobi au Cairo?
Lina kiwanda ndani?A380 imetua JNIA kwa dharura kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya huko Mauritus ilikokuwa ikielekea.
---------
Ndege kubwa aina ya Airbus A380 mali ya Shirika la Ndege la Emirates imetua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) uliopo jijini Dar es Salaam, baada ya kushindwa kutua Mauritius kutokana na hali mbaya ya hewa.
Si bora wayafungue wayapeleke centero!Itoboeni matairi ibaki hapo hapo nakuja
https://www.quora.com/How-much-mone...ce=google_rich_qa&utm_campaign=google_rich_qaMbili? Airbus A380 wapi wanauza kwa hiyo bei? Hiyo ni zaidi ya trilion 9
Huku sio uwanja mdogo.Ila hawana route ya kuifanya kuja huku.Hayo ni maneno tu ya watu wasiojua masuala ya ndege.
Hata ingekuwa ndege aina ya Antonov 255 Mrina, ingetua tu.Na ndio ndege kubwa kwa sasa duniani.Ni ndege ya mizigo.
https://www.google.com/url?url=http...25+in+africa&usg=AOvVaw17N3WuNZmpjFjlJX8Y_HXBhahaha aisee hii antonov 225 haijatua nadhani hata africa sina uhakika lakini.