Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

miaka ya 90s kulikuwa na ndege kubwa zaidi zilikuwa zinatua apo airport kama alliance airline
Zile zilikuwa ni boeing 747, kwa miaka ile kweli ndo zilikuwa ndege kubwa pekee, lakini nafasi huyo.kwa sasa imwchukuliwa na airbus a380 , ambayo nadhan frist comercial.fligh yake ilikuwa miaka ya 2000 (6 au 7) singapore ailrline ndo alikuwa wa kwanza kurusha a380, kabla ya hata air france, france ndiyo nchi ambapo airbus inatengenezwa
 
April 24, 2018

Ndege kubwa kabisa ya shirika la kimataifa la Emirates aina ya Airbus A380-800 imetua kwa mara ya kwanza nchini Tanzania. Dege hilo lenye ghorofa mbili, uwezo wa kubeba abiria 555 kwa kujimwaga ktk madaraja mbalimabali na ikiwa imefanyiwa maboresho abiria wote wakae mkao mmoja wa gharama nafuu ''economy class'' basi ina uwezo wa kubeba abiria 853 kwa wakati mmoja.
Video hii hapa chini ikionesha dege hilo likijijongeza (taxing) ktk uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport JNIA jijini Dar-es-Salaam, Tanzania.

Source: Aircraft Aviation TV
 
Hii habari sii nzuri kwa CHADEMA kabisaaaa:):):)
Napenda niwahakikishie watanzania kwamba ndege kubwa kubwa kama hii zitaendelea kutua kwa dharura.
Hii ndiyo Tanzania ninayo itaka.
Sasa watu watapata kushuhudia ndege kubwa kubwa kwakuwa ilikuwa inatia aibu watu wanaziona kwenye tv wanahisi labda ni magorofa yaliyoanguka.
Najua kuna watu hawatofurahia wao kazi yao ni kupinga pinga tu, lakini ni kawaida watu wana namna hiyo wapuuzie.
We are in the right track...:
Kwa haya machache niseme utuaji wa ndege kubwa kwa dharura umezinduliwa rasmi..
 
Napenda niwahakikishie watanzania kwamba ndege kubwa kubwa kama hii zitaendelea kutua kwa dharura.
Hii ndiyo Tanzania ninayo itaka.
Sasa watu watapata kushuhudia ndege kubwa kubwa kwakuwa ilikuwa inatia aibu watu wanaziona kwenye tv wanahisi labda ni magorofa yaliyoanguka.
Najua kuna watu hawatofurahia wao kazi yao ni kupinga pinga tu, lakini ni kawaida watu wana namna hiyo wapuuzie.
We are in the right track...:
Kwa haya machache niseme utuaji wa ndege kubwa kwa dharura umezinduliwa rasmi..
Hotuba umeandikiwa au linaloponyoka ndo hilo kama kawaida yako?
 
..haaa ..mwambieni mhutu akaipokee....ndio mjue tz ni nchi feki sana....yani mnaona sifa kwa dege kubwa la emirates kutua hapa dar...tena kwa dharura..wakati limebeba abiria wanaoenda mauritius ambacho ni kakisiwa tu kama zenj.....hii ni aibu kubwa kwa tz...sisi bado tunatamba na tundege feki twa bomberdier ambavyo vingine vimeanza kufa....tunashindwa hata kuvutia midege kama hii kutua kwenye viwanja vyetu pamoja na utajiri mkubwa wa mali asili tulio nao..na vivutio tele vya utalli...tunashindwa kuvutia wageni wakaja kwetu na midege kama hii...tunabaki kuona sifa pale midege hii inapotua kwa dharura na hakuna hata abiria mmoja anashuka kwenye ardhi yetu!!..this is pathetic.....dege lote hili linapeleka abiria mauritius wsio hata na vivutio kama sisi....aibu yetu...

btw...jidege hili likitapika likashusha hao abiria hapo dar airport ndani hapakaliki....na shughuli zote zitasimama...maana linabeba abiria 868....chini wanakaa 538 na juu abiria 330...yani likishusha ni janga hapo airport....wenzetu wametuzidi...tuache masihara..sisi tubaki tukiibiana...kuuana...na kuwindana kwa vyama na mababila kama swala...ndicho tunachoweza..
 
A380 imetua JNIA kwa dharura kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya huko Mauritus ilikokuwa ikielekea.

---------
Ndege kubwa aina ya Airbus A380 mali ya Shirika la Ndege la Emirates imetua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) uliopo jijini Dar es Salaam, baada ya kushindwa kutua Mauritius kutokana na hali mbaya ya hewa.

Lina kiwanda ndani?
 
Huku sio uwanja mdogo.Ila hawana route ya kuifanya kuja huku.Hayo ni maneno tu ya watu wasiojua masuala ya ndege.
Hata ingekuwa ndege aina ya Antonov 255 Mrina, ingetua tu.Na ndio ndege kubwa kwa sasa duniani.Ni ndege ya mizigo.

Ilishatua kuleta generator za Richmond.
 
Back
Top Bottom