Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

What has Magufuli got to do with this? Kama thinking ya WaTz wengi ipo hivi basi tunayo safari ndefu. Mlitaka iende ikatue wapi na mmeambiwa ni emergency Magu ndio amesababish Hali ya hewa kuwa ilivyo
At least mngempa credit Mheshimiwa JK maana miradi yake mingi ilikamilika pamoja na uwanja huu. Let's be serious ingetua chattle je ingekuwaje??
Dah! watu wengine kila kitu mnachukulia serious. Mhhh
 
What has Magufuli got to do with this? Kama thinking ya WaTz wengi ipo hivi basi tunayo safari ndefu. Mlitaka iende ikatue wapi na mmeambiwa ni emergency Magu ndio amesababish Hali ya hewa kuwa ilivyo
At least mngempa credit Mheshimiwa JK maana miradi yake mingi ilikamilika pamoja na uwanja huu. Let's be serious ingetua chattle je ingekuwaje??
watu wanatoa dhihaka tu mkuu wote wanajoki tu hapo
 
Back
Top Bottom