East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Gwaride hili ni la vijana wa jeshi la anga wa India
Last edited by a moderator:
wa hapa tz kazi yao nikujipasulia matofali dhaifu usoni.
wa hapa tz kazi yao nikujipasulia matofali dhaifu usoni.
waingize kwenye vyombo vyao harafu wakupigie gwaride uone. wajikakamue kimikwala hapo wakati wao wamezoea kucheza hewanimara nyingi bondia mwenye mbwembwe sana hakuna kituSasa nini cha ajabu hapo...mbona wanacheza kwata ya kawaida tu
Sisi tunataka tuone watu wakivunja mawe kwa mikono
Tunataka tuone watu wakining'inia kwenye ndege
Hapo watu laini laini tu