Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Kuna haja ya kuwa na kiwanja kikubwa kati ya maeneo ya Tabora na Singida kwa ajili ya abiria au mizigo, na kwa ajili ya emergency landing kama haiwezekani kibiashara basi uendeshwe japo na Jeshi ila wawe wanaruhusu emergency landing..umbali wa kurudi Mwanza bado haukuwa salama sana..