Wewe akili zako ni sawa na za huyo ulieweka picha yake hapo kwa DP yako.Kwenda kufanya maonyesho?uongo kbsaa lazima mzee wa sifa media zake zingepamba hii habari asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bei hawakuafikiana, wamerudi nayo,Sasa watupiga uongo.Halafu kenya ina ndege nyingi, ni maonesho gani mpaka iazime ndege kutoka kwetu, kandege kenyewe hako kamoja? Wawadanganye wajinga huko, hayo maonesho ya ndege hayapo, walienda kupatana bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatamani na kuomba dua Serikali iliyoko madarakani ishindwe katika juhudi zake za kuimarisha uchumi wa nchi, ili wewe na hao unaotaka wawe madarakani, mpate nini?
Watu wazima hovyo vichwani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Jiwe alishawatahadharisha kuwa "WATZ SIYO WAJINGAJamani kwa kuwaelimisha watu wasio elewa katika aviation industry nikwamba kuna kitu kinaitws Air show ambayo hujumuisha mashirika ya ndege wetengeneza ndege na wadau wote aviation ambapo deals kibao za biashara zinazohusiana na biashara ya ndege hufanyika kama vile kuweka order ya ununuzi wa ndege kutoka kwa manufactures nk
Ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho na.maonyesho.hayo.ni usiku mana iliondoka saa (9)mchana japo ilipaswa kuandikwa (3)ili tujue ila kwa vile kaweka 9mchana tumeelewa then ikqruka saa 12 jioni ikarudi na.kuondoka saa 4uaiku na kufika saa tano kasoro dakika chache hapa kuba maswali kibao lakini majibu tuliopewa ndo chazo cha maswali yenyewe...je kulikua na maonyesho kweli?je maonyesho hayo yalikua ni kwa ajili ya ndegw kutoka TZ tu?je maonyesho hayo yalipaswa kufanywa usiku as if tubakagua taa?ilikodiwa na ilikodiwa na nani?hayo maonyesho ya masaa mangapi maana naona ndege imeanza safari dar na kufika 12 kasoro na kuondoka saa tatu na kuanza mwendo kurudi nyumbani saa nne muda wa maonyesho hawatuambii na wala hatuambiwi walioshiriki maonyesho hayo ni nchi ngapi? Huenda ndege imeenda test mnunuzi ndo anajaribisha kama chombo ni konki..ila sina proof hadi nione ikiuzwaShirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa za kumbukumbu za anga kupitia mtandao wa Flightradar24, Ndege namba 5H-TCH aina ya Airbus, A220-300, iliondoka Dar es Salaam majira ya 9.17 mchana kuelekea Nairobi Kenya, na majira ya saa 12 jioni iliruka kutokea Uwanja wa Jomo Kenyatta kisha kutua katika Uwanja huohuo muda wa saa moja jioni.
View attachment 1057685
Aidha ndege hiyo iliondoka Nairobi saa nne usiku na kutua Dar es Salaam saa 5 na dakika 43 usiku.
Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
Kwenda kufanya maonyesho?uongo kbsaa lazima mzee wa sifa media zake zingepamba hii habari asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda kufanya maonyesho ya ndege?
Mie nilifikiri itakuwa busy kusafiri huku na kule ili kusafirisha abiria kumbe iko kwenye maonyesho? Kiasi gani kilitumika kama gharama za kushiriki maonyesho hayo?
Halafu kenya ina ndege nyingi, ni maonesho gani mpaka iazime ndege kutoka kwetu, kandege kenyewe hako kamoja? Wawadanganye wajinga huko, hayo maonesho ya ndege hayapo, walienda kupatana bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi bongo ndivyo tulivyo, tunaambiwa ndege ILIKODIWA, bado mtu anauliza kiasi gani kimelighalimu shirika? Tuliambiwa Tanzania ni ya kwanza ktk afrika kuwa na ndege hii lakini bado tunashangaa ndege kukodiwa wengine waone utendaji kazi wake!! 😂😂Kwenda kufanya maonyesho ya ndege? 😳😳
Mie nilifikiri itakuwa busy kusafiri huku na kule ili kusafirisha abiria kumbe iko kwenye maonyesho? Kiasi gani kilitumika kama gharama za kushiriki maonyesho hayo?
Kenya hawana model kama hiyo, ni pekee africa.Halafu kenya ina ndege nyingi, ni maonesho gani mpaka iazime ndege kutoka kwetu, kandege kenyewe hako kamoja? Wawadanganye wajinga huko, hayo maonesho ya ndege hayapo, walienda kupatana bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Shirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa za kumbukumbu za anga kupitia mtandao wa Flightradar24, Ndege namba 5H-TCH aina ya Airbus, A220-300, iliondoka Dar es Salaam majira ya 9.17 mchana kuelekea Nairobi Kenya, na majira ya saa 12 jioni iliruka kutokea Uwanja wa Jomo Kenyatta kisha kutua katika Uwanja huohuo muda wa saa moja jioni.
View attachment 1057685
Aidha ndege hiyo iliondoka Nairobi saa nne usiku na kutua Dar es Salaam saa 5 na dakika 43 usiku.
Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
Ilipelekwa sokoni siyo maonyeshoShirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.