Huyu ni chawa ila amekuwa mkubwa kufikia level ya kupe.Kwanini unajiita Chawa mkuu?
Tell him ! He is just a desperate MATAGA fanatic parotting here week in week outKenya Airways (KQ) has at least four daily flights to Dar es Salaam, five to Entebbe, four to Lusaka and at least one daily flight to Livingstone (Zambia). KQ also flies to two other cities in Zambia.
KQ bado wanaongoza sanaaa
Hizi nauli mbona ndogo Sana??The airline’s first flight to Nairobi from Julius Nyerere International Airport will cost Sh37,525 ($334) for a return trip and approximately Sh23, 594 ($210) one way.
Kaziiendelee, Hii haijawahi kuwa hiviMama yuko kazini Mjomba usiumize kichwa
Kutisha kwa hasara ya 400B plus hasara ATCL?Kama hali ni hii kwa ndege 11 tu, Itakuwaje zile tano mpya zikifika?
Hivi Watanzania tunaelewa vizuri anachofanya Rais Samia?
Hii mnajua tunatisha sana EAC kwa sasa?
Hii takwimu umeitoa wapi chief?Kutisha kwa hasara ya 400B plus hasara ATCL?
Taarifa ya CAG bungeni,au wewe unaishi visiwa vya maltaHii takwimu umeitoa wapi chief?
Just 2019/20 Limetengeneza hasara ya 60B in one year.Hii takwimu umeitoa wapi chief?
Mbona huleti hiyo hasara ya 400BL uliyosema ili nasisi tuione,Just 2019/20 Limetengeneza hasara ya 60B in one year...
Huyo ni inzi wa chooni anapembea na nyota ya mafii kuhusu swala la ndege point zote anapewa magufuli na mama saa100 kama msaidizi wa magufuliKwanini unajiita Chawa mkuu?
Hizi ndiyo akili ndogo faida ya biashara ya ndege haipo kwenye sekta ya ndege tu ,tunaweza tukawa tunapata hasara kwa jicho la chini ila kwa jicho la juu tunapata faida kama nchi mfano ndege imeleta watalii 200 wamelipa nauli sh milioni 2Hao Kenya Airways, South African Airways, British Airways, na wengine wengi wapo anga lote lakini hasara inawaandama kwa miaka mingi sasa na mashirika haya yanaendeshwa kwa ruzuku za serikali zao. Biashara ya ndege ilikuwa na pesa zamani sio sasa. Tutaona.
Hoja yako ilete 2030 mkuu itafaa sana,Nashauri Samia ajengewe mnara pale Dodoma sio kwa speed hii
Ndio maana tunapata hasara nchi hii.Hizi ndiyo akili ndogo faida ya biashara ya ndege haipo kwenye sekta ya ndege tu ,tunaweza tukawa tunapata hasara kwa jicho la chini ila kwa jicho la juu tunapata faida kama nchi mfano ndege imeleta watalii 200 wamelipa nauli sh milioni 2
kila mmoja jumla sh400mil toa gharama za uendeshaji sh500mil hapo tutakuwa tumepata hasara ya milioni 100 ila hao watalii wakija tz kila mmoja atatumia milioni 50 nchini kwa kukaa kwenye mahoteli mbalimbali
chakula mavazi mbuga za wanyama nk sasa ukitazama kwa ujumla ndiyo utajua kwanini mashirika ya ndege yanapata hasara ila serikali aziachani nayo ,pia ndege ni kitangazo kikubwa cha nchi yoyote ile ,zinasahidia kuitangaza tz kimataifa
Good aisePia tuna njia za dubai na london ambazo zinasubiri ndege maungizo mapya
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ameeleza ukweli mbona mkuu,Ndio maana tunapata hasara nchi hii.
Kwani tulipo kuwa hatuna ndege hatukuwa na hasaraNdio maana tunapata hasara nchi hii.