Air France with 228 people missing!

Electrical fault one of the causes??

We may expect the worst..maana muda wote 6 hrs or so mafuta sii yatakuwa yameisha??

Ajali za ndege ni chache ila zikitokea ni balaa!
 
Electrical fault one of the causes??

We may expect the worst..maana muda wote 6 hrs or so mafuta sii yatakuwa yameisha??

Ajali za ndege ni chache ila zikitokea ni balaa!

wenyewe wameshasema wanaanza kukata tamaa.....'mafuta ya taa yameisha'
 
Magaidi wameiteka....?
Haijatekwa. Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa kabla haijatoweka kwenye rada, marubani waliripoti hitilafu ya umeme kwenye ndege. Sasa hivi maofisa wa Air France wamefanya press conference na kueleza kuwa kuna uwezekano ndege hiyo imeanguka katika pwani ya Morocco kutokana na hitilafu na si tukio la ugaidi
 
To be exact, ndege ilikuwa inatoa automated messages kuhusu short-circuiting, sio marubani.

Cheers.
 
Mkuu mbona umeenda mbali sana! sema Darful waafrika wenzetu wanavyouliwa na waarabu!

Mkuu utapoteza wakati wako kuwaelimisha watu wanaokuwa driven na chuki. Sasa ona kama huyu anajiita Osama, anaonesha kila dalili ya kuistahili jehanamu ya moto.
 
mmm, watu 228 ni wengi mno! halafu bado watu hawa wanajenga ndege zenye uwezo wa kubeba watu 550 !!
 
mmm, watu 228 ni wengi mno! halafu bado watu hawa wanajenga ndege zenye uwezo wa kubeba watu 550 !!

Ndo hivyo mkuu hatuna jinsi, vitabu vya dini vinasema kila mja ameandikiwa siku yake na kila nafsi ni shurti kuonja mauti whether we like or not. Ndo hivyo chochote kitakachojiri inabidi tukubali matokeo.
 
Impossible! Bermuda triangle is nowhere near the flightpath.
when the dark forces of the triangle want to claim a victim,your inflight compasses
show you as being on the flightpath but in reality you have veered offcourse
 
Last edited by a moderator:
Waafrika bwana! Kuna meli zbar imezama na siku ya tatu leo na inahofiwa kuwa na watu karibuni ya mia. Vipi mnayo habari au hayo hayawahusu!
 
Waafrika bwana! Kuna meli zbar imezama na siku ya tatu leo na inahofiwa kuwa na watu karibuni ya mia. Vipi mnayo habari au hayo hayawahusu!
Mkuu, amgalia tena sources zako vizuri. Kwanza hiyo ndio ilikuwa habari pekee iliyokuwa inapatikana hapa JF wakati ilipokuwa kwenye marekebisho. Na hivi punde nimeona mtu kaweka hiyo post humu.
Pia, kwa mujibu wa taarifa zilizopo, idadi ya watu wanaoaminika kufa inaweza isifike 20. Sasa kama una sources wanaosema zaidi ya watu 100, ni vema ukatujuletea taarifa za kina
 
Electrical fault one of the causes??

We may expect the worst..maana muda wote 6 hrs or so mafuta sii yatakuwa yameisha??

Ajali za ndege ni chache ila zikitokea ni balaa!

Not real. Mind you that route is supposed to be 12 hour no stopover for refuelling. BTN it is said it has plunged into the Atlantic ocean.
 
Brazilian military planes found wreckage on Tuesday from an Air France jet that crashed in the Atlantic Ocean with 228 people aboard, the airline's worst disaster in its 75-year history.

Brazilian Defense Minister Nelson Jobim said there was "no doubt" that a 5-km strip of debris in the high seas was from the Airbus A330 that went missing in stormy weather early on Monday. Experts were certain that all aboard died.

"The remains, the wreckage, are from the Air France plane," a somber Jobim said at a news conference in Rio de Janeiro, where the plane took off for Paris on Sunday night.
Distraught relatives who had been praying for a miracle said they had given up.

"The last bit of hope that we had no longer exists ... Before a lot of us were hoping that the plane could have landed on an island or something like that, but no more," said Aldair Gomes, whose son was on the plane.
Airplane seats, an orange buoy, wiring, pieces of metal and fuel stains were spotted in the water by Brazilian air force pilots about 1,200 km northeast of the coastal city of Recife.

So far no bodies have been sighted, and pulling out bits of wreckage may not start until Wednesday when navy ships with divers arrive.

It is likely to be extremely difficult to find the flight data and voice recorders that hold clues to why the plane fell out of the sky in the middle of the night. The recorders could be on the ocean floor at a depth of 2,000 to 3,000 meters (6,600-9,800 feet), Jobim said.

Brazilian President Luiz Inacio Lula da Silva said he was confident that the black boxes would be found.

"I think a country that can find oil 6,000 meters under the ocean can find a plane 2,000 meters down," he told reporters in Guatemala, referring to recent oil finds by Brazil's state energy company in ultra-deep waters.

The recorders are designed to send homing signals for up to 30 days when they hit water, but many do not float well. It could be among the hardest recovery tasks since the exploration of the Titanic, one expert said.

"If you think how long it took to find the Titanic and that the debris would be smaller, you are looking for a needle in haystack," said Derek Clarke, joint managing director of Aberdeen-based Divex, which designs and builds military and commercial diving equipment.

MYSTERY, RELATIVES WANT ANSWERS

Authorities were baffled by how a storm could have caused the modern plane operated by three experienced pilots to crash without sending a mayday call.

Experts from France have arrived in Brazil to lead the investigation with help from Brazilian teams.

Brazil's air force last had contact with Flight AF 447 at 0133 GMT on Monday when it was 565 km from its coast. The last automated signals, which reported an electrical failure, were received about 40 minutes later.

One theory is that a lightning strike or brutal weather set off a series of failures. But lightning routinely hits planes and could not alone explain the downing, aviation experts said.

Two Lufthansa jets believed to have been in the same area half an hour before the Air France mishap are expected to provide clues for investigators, the World Meteorological Organization said.
 
hii inasikitisha sana. lakini huwa mnadai ndege za africa ndo huwa sio safe. je hii bado inahold?
 
hii inasikitisha sana. lakini huwa mnadai ndege za africa ndo huwa sio safe. je hii bado inahold?

mkuu,bado inahold IN MANY WAYS!possibilities za kupata ajali kwa ndege za afrika ni kubwa sana kuliko wenzetu.hili limetokea lakin halitakaa lifiche ukweli kuhusu 'miundombinu tata' ya afrca,NA HUSUSANI TANZANIA!samahani kwa bolding
 
hii inasikitisha sana. lakini huwa mnadai ndege za africa ndo huwa sio safe. je hii bado inahold?

Mkuu ukweli utabakia kuwa kwa ndege za kwetu, ni Mungu tu husaidia.....huwa zinamatatizo mengi sana..hasa za hapa Tz!
 
hii inasikitisha sana. lakini huwa mnadai ndege za africa ndo huwa sio safe. je hii bado inahold?

Mkuu ajali ni ajali tu. Hivi vyombo vya moto havitabiriki!!! of course uzembe na miundombinu mibovu inaweza kusababisha madhara mengi, lakini tukubali kuwa always accidents remain unkwown and unexpected events. It is sad. Poleni wafiwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom