Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 14
aisee inabidi tusali na kushukuru kila tunaporudi nyumbani salama
THIS HAPPENS IN THE LEAST DEVELOPING COUNTRIES!kama tanzaniauzembe na miundombinu mibovu inaweza kusababisha madhara mengi, .
THIS HAPPENS TO BOTH!developed,and developing countries.this is normal in life.lakini tukubali kuwa always accidents remain unkwown and unexpected events.
hii inasikitisha sana. lakini huwa mnadai ndege za africa ndo huwa sio safe. je hii bado inahold?
hii inasikitisha sana. lakini huwa mnadai ndege za africa ndo huwa sio safe. je hii bado inahold?
Africa accounts for less than 3% of world flights but accounts for more than 30% of global air accidents..
Mh..Maria Roza unauhakika?Kun habari wanasema kuwa Air France walipewa warning na magaidi kuwa wawe makini na ndege zao zitokazo Bogota Argentina. Sasa huwezi jua!!! Mungu atuepushe mbali na hawa Magaidi
Its confusing now, hiyo ndege itakuwa wapi now? Lets wait and hear more.
Its confusing now, hiyo ndege itakuwa wapi now? Lets wait and hear more.
It is like in the LOST series
Kwani si tayari masalia kama vile viti na vpande vya vyuma na nguo vimeshaonekana vikielea baharini jamani au?
Kun habari wanasema kuwa Air France walipewa warning na magaidi kuwa wawe makini na ndege zao zitokazo Bogota Argentina. Sasa huwezi jua!!! Mungu atuepushe mbali na hawa Magaidi
Kazi kweli ipo- na ni ngumu sana!
sasa hii ndege imepotelea wapi?