ni vimeo, unless wewe unaangalia ukaaji chaji kushinda kitu chochote. zipo laptop za celeron zenye core za atom zinakaa na chaji masaa 14 hadi 17, tegemea na matumizi ila zipo slow sana hata games na apps kubwa hazitafanya kazi vizuri.