Aina za wauaji na mauaji

Napita Kwa kukimbia



[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
JF hakuna mahubiri sio kitengo cha kiimani, ni forum huria ya hoja na mijadala
usiilazimishe akili yako kuelewa ktk kanuni moja! kuwa mpembuzi wa lugha nilichokitaka ni kwanini umekuwa ukifundisha/kuandika maswala ya kichawi..?
mantiki yangu bado iko palepale
 
Ni sumbawanga au Mlele (Katavi),
 
Hivi wale wa TL ni kwamba hawajui kazi yao vema au tu kuna nguvu ya
Mungu kwenye tukio zima maana nishaona watu wengi wakifa kwa Risasi
moja mpaka tano tena kwa kupigwa maeneo ambayo si hatari kama ya TL!?
Ni Mungu alimnusuru
 
usiilazimishe akili yako kuelewa ktk kanuni moja! kuwa mpembuzi wa lugha nilichokitaka ni kwanini umekuwa ukifundisha/kuandika maswala ya kichawi..?
mantiki yangu bado iko palepale
Sikulazimisha bali nilikufafanulia kuhusu neno MAHUBIRI... huoni sasa umekuja kivingine.... Ningekuwa darasani ningekupa [emoji818] [emoji819] lakini ya mwanzo ningekupa[emoji777] [emoji777] [emoji844]
Nikirejea kwenye jibu la swali lako ni kwamba JF ni forum huru unaruhusiwa kuandika chochote alimradi huvunji taratibu na kanuni za jukwaa
 
Naomba niweke baadhi ya picha zenye maelezo machache.. TAHADHARI. MAUDHUI YANATISHA 2009 kikundi cha madawa ya kulevya kilipowaua wapinzani wao ama wanaowahisi wanatoa siri zao... Mauaji ya kutisha na kinyama kama haya ni ya kawaida kwenye vikundi vya madawa ya kulevya kikundi katili zaidi ni mundonarco. com
 
wauaji katili zaidi kuwahi kutokea duniani THE ISIS, maadui ama wasaliti walichinjwa kama kuku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…