Aina za vitambi vya wabongo

Aina za vitambi vya wabongo

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,699
1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.

2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa.

3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi kinaisha.

4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana
hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo.

5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.

6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada. Kina umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu.

Nimecopy tu sehemu..nisipigwe mawe tafadhari
 
Nilijua tu...... Mamndenyi nilinde tafazali.....eti nna kitambi mbonyeo? Kha!

Cha kwako si ni kitambi kiribatumbo! Au "misukosuko" source yake ni ulaji wa feza za saccos na N.g.o's hewa.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga hana kitambi
kama unakataa sema;

Bishanga ana Kitambi kikurupushi, hiki hutokana na kula sana utumbo na vichwa vya kuku.

Bujibuji ana kitambi masikitiko, hiki hutokana na kupenda sana kupiga chabo wake za watu wakioga.

Baba V ana kitambi mdumange, hiki hutokana na kupenda sana kula kongoro la ng'ombe.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga hana kitambi
kama unakataa sema;

Bishanga ana Kitambi kikurupushi, hiki hutokana na kula sana utumbo na vichwa vya kuku.

Bujibuji ana kitambi masikitiko, hiki hutokana na kupenda sana kupiga chabo wake za watu wakioga.

Baba V ana kitambi mdumange, hiki hutokana na kupenda sana kula kongoro la ng'ombe.
 
Last edited by a moderator:
hizi aina .za vitambi kiboko, sisi wakulima hatuna haya, ikizidi sana itakuwa cha mfumanio....
 
Judgement hivi kwanini nakuonaga kama una boonge la bifu na Bishanga
ni kama kakuchukulia nanihiii yako vile
au nini hasa,
kama vipi mseme maombi yafanyike kwa ajili yenu.

Yaani Mamndenyi uko poa wote twakubali bwan'shee Bishanga hana ndambi, bali ana hMshipa-pwani (shipa) au ngirimaji !
Na ndy kuna siku mi nilitoa srade ya kumchalenji Dr. Mwele Malechela, Bishanga akaninunia!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom