Aina za vitambi na sababu zake

Haha ila wewe umeamua kuwananga ndugu zetu wenye vitambi

Kwamba hawapendeki au?
Hapana, sio hawapendeki. They are human beings, and they deserve all the love in the world. Ila I thought you would understand me by speaking in indirect way, ila naona hunielewi. Well, let me get my point clear, ujumbe ninao jaribu kuufikisha kwako ni kwamba "Mwenye kitambi adeal na mwenye kitambi mwenzie", na sisi tusio na vitambi tu deal na wasio na vitambi wenzetu. Fair play.

Tusije kupinduana kwenye majimbo huko mbeleni mwa safari, watu wakapata presha na kisonono halafu tukaja kupeana lawama bure za kuvunja mahusiano ya watu.
 
Hahaha you brat! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Better stop it[emoji119], I get it very clear lakini you have your limitations and you are free to chose whoever you want, and so do they, let them enjoy that right, wasio na vitambi wanaweza kuwa na wenye vitambi and vice versa.
 
Well, bado nakupinga, tena nakupinga in capital letters huh. Tena usinishawishi niazishe hash tag ya "#FAT PEOPLE's LIVES MATTER.[emoji1534]"

I'm Joking.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Well, bado nakupinga, tena nakupinga in capital letters huh. Tena usinishawishi niazishe hash tag ya "#FAT PEOPLE's LIVES MATTER.[emoji1534]"

I'm Joking.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28] sikuwezi, hiyo hashtag imenifanya nicheke, why are you this cold to fat people, there must be a reason behind sio bure[emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] sikuwezi, hiyo hashtag imenifanya nicheke, why are you this cold to fat people, there must be a reason behind sio bure[emoji28][emoji28]
Ma'am, hio #Hash Tag tu umecheka mpaka huku nilipo nimekusikia. Sasa nikikupa sababu za kwanini i'm being cold hearted (As you say, but i deny all the allegations) towards them fat people. Trust me, unaweza ukalazwa na kupigwa drip 3 za kustabilize mapigo yako ya moyo sambamba na dose ya kuondoa maumivu ya mbavu zako.

I have a little history with them kuanzia Primary mpaka University, nikianza kukuelezea sitomaliza.

One fateful day that i will never forget, nliwahi kumtania classmate wangu kibonge kipindi nipo primary grade 3, aliniwasha konzi moja zito kisawasawa kwenye sikio la kushoto, unayajua makonzi yale mazito ukipigwa lazima kichwa kifanye Emergency Back Up Ya Files Zote & Memory na kuji Restore katika Factory Settings.??? Siku tatu nlikua nahisi ganzi kwenye hilo sikio. For three days i had to be touching my ear every now and then to confirm that bado lipo n halija chomoka.
 
Tiririka faida hapa maana mleta mada yeye amezungumzia hasara za vitambi, sasa tuzungumze na faida ili tusiwakatishe tamaa ndugu zetu
OK,kwanza kitambi ni public opinion, mama mwwnye mimba anatumia tumbo lake kufutia kioo smart phone yake,mwenye kitambi siku zote haitwi handsome boy,anakuwa ameepuka Yale mambo ya tuma na ya kutolea though sla y Queen wanatuzonga sana.
Hakuna msee mwenye kitambi akakosa doo.
 
Hawa wanene hivi kuwasindikiza kwenye safari yao ya mwisho kwa kubeba sanduku walimolalia kama hauendi Gymn husijaribu kusaidia.
 
I see, no wonder umeanzisha mpaka uzi kumbe its been created in your mind since childhood

Hilo kwenzi liliingia mpaka kwenye ubongo sio bure[emoji28][emoji28][emoji28]

You still have a chance to take the positive side of them fat men, sema unene mwingine ni wa kujitakia, unakuta mtu bonge ana mwili kama wa pita halafu anakula sahani nne za chipsi mayai
 
Hawa wanene hivi kuwasindikiza kwenye safari yao ya mwisho kwa kubeba sanduku walimolalia kama hauendi Gymn husijaribu kusaidia.
Uwe umebeba mbele kabisa kwenye sanduku, halafu ghafla wa pembeni yako na wa nyuma yako waondoke ili kubadilishana na wengine. Lazima mzigo ukuelemeee na uharibu safari, hapo kuadhirika ni lazima kama sio kutoa boko.
 
 
Am not judging you at all, and you did nothing wrong, naamini huu uzi ulikua na lengo la kuelimisha na kufurahisha vilevile,

So its good kwamba we will get to learn namna ambavyo hawa watu wanajisikia katika jamii and perhaps we can find a good way to help or advice or even encourage them tunapokutana nao kwenye jamii zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…