howardlite
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 234
- 368
Kijana mmoja wa kiume alimwambia mdada anampenda.
Yule dada akamuuliza unamaanisha nini?Kwani upendo uko wa aina nyingi.
-Aina za upendo:
1.Agape-Upendo wa kimungu, kwa namna ile Mungu ametupenda na anavyotupenda.
2.Upendo wa ndugu (dada na kaka)sister and brother this is called filleo.
3.Upendo wa mume na mke(wenye kuunganika kimwili na kihisia)
-Inawezekana umewahi kuambiwa unapendwa ukajenga dhana tofauti na ya yule aliyekwambia?