bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 464
Tembea uya one. “sio nyumba zilizo pandiana hapana ni maghorofa.”
Hivi kumbe kuna Ugali wa nazi ? Yani ugali umepikwa kwa nazi ? Aise ! Jana nili ula huu ugali. Nimeamua huu ndio Ugali wangu kwanzia leo labda niende sehemu haupo ila nikiwa kwangu ni ugali nazi tu!
Kama kuna aina nyingine tupeane si mbaya tukipata na shule yake kidogo tu! Maanake watu wengi hawapendi ugali labda kwa sababu yaku kinai aina hio hio moja ya DONA au SEMBE au MHOGO.
Karibu!