stoneblock
Senior Member
- Feb 28, 2023
- 126
- 386
Mungu ni mwema
twende moja kwa moja kwenye Mada naomba tu nsieleweke vibaya mimi sio mchawi mganga au mtaalamu sana wa mambo hayo lakini kuna namna naweza kuwasaidia watu kutokana na aina hizi za uchawi ninaoujua kutoka kwenye jamii za wasambaa sehemu nilipokulia kusomea kuolea na hata kujenga huko ijapokua mimi kwa asili ni mchaga Mmarangu wa Old Moshi.
KIATU
huu ni aina ya uchawi wanaotumia wachawi wa kisambaa ambao lengo kuu l mchawi ni kumpeleka mbali sana mtualiyekusudia kumroga yaani ukipigwa kiatu unatembea tu kila siku unaenda mbali na kwako au kwenu hukumbuki nyuma wala utakua huna mpango wa kurudi nyumbani
NTIGO
sijui kama nimesound vizuri aina hii ya uchawi ipo kwa lengo la kuwalinda wake au watoto wa kike ukitembea na mke wa mtu unaweza kuumwa kuanzia kwenye kiuno kushuka chini hapa ieleweke sio lazima mume wa huyo mke awe amekuonya au sio lazima uwe unajua kuwa ni mke wa mtu yaani kutembea naye tu unaumwa kupona kwa huo ugonjwa ni lazma umtafte mume wa mke uliyetembea naye mbagain umpe ngombe au fedha ufanyiwe uganga upone.
MVUAZA
Huu ni aina ya uchawi ambao mhusika anaununua rasmi kwa ajili ya kuogopeka au kukwepa madeni ukiwa na mvuaza unaweza kuwa unadaiwa lakini ukikutana na mtu anayekudai ile nguvu aliyokua nayo ya kudai inapungua anacheka cheka au anakusamehe kabisa, pia kama una case mvuaza humfanya aliyekushitaki asahau kwenda mahakamani au afute kesi au faili la case lisionekane.
ZONGO
Hii ni aina ya uchawi ambayo lengo kuu la mchawi ni kupima kinga zako za kichawi zongo humfanya mtu aumwe ghafla atapike au tumbo livurugike mara nyingi zongo hutumwa kipindi unakula kitu chochote mbele ya mchawi zongo hutumwa kwa njia ya kujikuna kuna ukiona unakula alafu mtu anajikuna kuna mbele yako mkanye mwambie tu acha ujinga wako ataacha na atajua ww ni mtaalamu wakati huna utaaalamu wowote
Zongo baya ni la kulogwa ukiwa unakula msibani uuguzi wake ni lazima upate chakula kingine cha msibani ndio uaguliwe nao.
KOPERA
huu ni uchawi wa kuibiana vitu kwa njia ya mazingara unaweza kuibiwa Mazao pesa au hata akili kwa wale mnaosoma yaani ni uwezo anaokua nao mchawi wa kuhamisha mali yeyte anayoitaka kuna njia nyingi za kukabiliana na hali hiyo lakini zinazojulikana ni kuweka mfupa wa nguruwe kumwaga/kuweka chumvi ya mawe /kutumia ndulele 2/3 kwenye mali yako pia maombi kwa wale tunaomwamni Mungu
UPDATES
SHAKIIZI
huu ni aina ya uchawi ambao mchawi hutuma jini kwa mtu aliyekusudia ili ajidhuru au adhuru wengine
mhusika anaweza kuua au kugombana na ndugu zake bila kujitambua Shakiizi huweza kusababisha mtu kufanya jambo bila kukusudia na akishalifanya hujutia sana kama kuna ulilowahi kukutana nalo au unajua uchawi mwngine tuelezeane.