fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,269 Jan 11, 2014 #1 Ni nini kinasababisha aina mbalimbali za mifuzi?Ipo inayonuka na isiyonuka,ipo yenye milio na ya kimyakimya
Ni nini kinasababisha aina mbalimbali za mifuzi?Ipo inayonuka na isiyonuka,ipo yenye milio na ya kimyakimya
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,899 Reaction score 97,904 Jan 11, 2014 #2 Mifuzi ndio nini? Mavuzi au ushuzi? Kama Mavuzi labda jasho na kama ushuzi basi atakuwa anakula vyakula vya kihindi ndio maana unatema.
Mifuzi ndio nini? Mavuzi au ushuzi? Kama Mavuzi labda jasho na kama ushuzi basi atakuwa anakula vyakula vya kihindi ndio maana unatema.
The Kingston Member Joined Feb 23, 2013 Posts 33 Reaction score 4 Jan 11, 2014 #3 Hahaha..... Kwani nia yako ni nini hasa
ANT DRUGS JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 5,564 Reaction score 7,028 Jan 12, 2014 #4 The Kingston said: Hahaha..... Kwani nia yako ni nini hasa Click to expand... National exams ya form four-2014.
The Kingston said: Hahaha..... Kwani nia yako ni nini hasa Click to expand... National exams ya form four-2014.
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,113 Reaction score 72,576 Jan 12, 2014 #5 Vyakula vigumu kama makande,mahindi,pia maharage lazima kinukeee hata chipsi nazo