Tunaanza ngazi ya familia mpaka ya dini! Ya nchi hata ukiachana nayo maana tumelaanika wote🤣Yani hapo nitaanza na ipi sasa🤣
Sanasana tunaweza kupooza tu maana roho la laana likishazaliwa mahali kuisha kwakwe ni mpaka vizazi vitatu au vineTunaanza ngazi ya familia mpaka ya dini! Ya nchi hata ukiachana nayo maana tumelaanika wote🤣
bali nawarehemu maelfu elfu wanipendao na kuzishika amri zangu…Tuachane ya dini maana kwetu tunampenda Mungu, tuanze ngazi ya familia🥲Sanasana tunaweza kupooza tu maana roho la laana likishazaliwa mahali kuisha kwakwe ni mpaka vizazi vitatu au vine
Ndio maana maandiko matakatifu yanasema.. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao wa kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao....
Kuna familia zina laana ya asili | Page 31 | JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asiliHiyo "Generation curse" ni hatari mkuu!
Kuna familia zina laana hiyo, unakuta familia wakifika miaka 40-50 wanadata, kujiua, kuua n.k 😁
Familia umasikini na wao ni pete na chanda, visa, mikasa ni vya kwao.
Kuna familia ukioa tuu, mikasa inaanza!
😁
Inaangukia pale pale kwenye vizazi kupitia vizalia (DNA) ndio maana zamani wazee wakishastuka hufanya diffusion kwa kutengeneza ndoa mpya na familia za mbali na ukoo husikabali nawarehemu maelfu elfu wanipendao na kuzishika amri zangu…Tuachane ya dini maana kwetu tunampenda Mungu, tuanze ngazi ya familia🥲
Oohh kumbee🤔 laana inafifia?Inaangukia pale pale kwenye vizazi kupitia vizalia (DNA) ndio maana zamani wazee wakishastuka hufanya diffusion kwa kutengeneza ndoa mpya na familia za mbali na ukoo husika
Hapo waling"oa shina ndio maana ikaisha.. Yaani walikata mawasilianoKuna familia moja kabila X, kanda ya ziwa, bibi yao alikuwa mwanga. Ukipata kikazi ukajifanya unaenda kusalimia maskani, ukirudi mjini unadedi! 😁
Ilibidi wafanye mbinu ya kuua kikongwe, ndio pakatulia. 😁
Inaangukia pale pale kwenye vizazi kupitia vizalia (DNA) ndio maana zamani wazee wakishastuka hufanya diffusion kwa kutengeneza ndoa mpya na familia za mbali na ukoo husika
Kule India ndoa huzingatia Sana background ya familia husika.. Huku tunabebana tuu🤣 .. Kijana kaona mtoii ana nyashi tepetevu fasta anatangaza ndoaView attachment 3584527
Kule India ndoa huzingatia Sana background ya familia husika.. Huku tunabebana tuu🤣 .. Kijana kaona mtoii ana nyashi tepetevu fasta anatangaza ndoaView attachment 3584527
Ila wanaume ni wadhaifu sana jamani loh!Kule India ndoa huzingatia Sana background ya familia husika.. Huku tunabebana tuu🤣 .. Kijana kaona mtoii ana nyashi tepetevu fasta anatangaza ndoaView attachment 3584527
Most of men marry kulingishia family and friends! Sie sura za baba makebo flat tunaachwa tunashangaa shangaa tu😂Anaoa makalio! 😁
Anaacha "software" anaoa "hardware". 😁
Lakini wewe umejaza server na same category unazozipinga humu😅Kwenye ishu za mahusiano maswala ya kiroho hayapewi kipaumbele kama ya kimwili (mwonekano)🤣View attachment 3584533