Mkuu natamani sana hizo adventure za kufanya kazi mpaka mochwar basi tu sina michongo ya huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina roho mkuu ukipata nafasi nipe uoneHahahaa una roho au una moyo?
Jr[emoji769]
Sawa hope nitakupa company poa sana kazin mpaka wafu watatabasamuDah... Poa subiri siku kukiwa na mzigo wa kutosha halafu niko nite shift nikualike
Jr[emoji769]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sawa hope nitakupa company poa sana kazin mpaka wafu watatabasamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipo serious kabisa[emoji15][emoji15][emoji44][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Nimejifunza na kusomea
Jr[emoji769]
Nimeshasoma sana vibwenga vya huko ila nataka kuona hizo mambo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Vituko vya mochwari
Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile. Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake...www.jamiiforums.com
Jr[emoji769]
Kabisa nshawahi tapeliwa yule mganga alinipiga fixMmh....
Jr[emoji769]
Duuuh yaani we jamaa unaniachaga mdomo wazi [emoji16][emoji16][emoji16] si kwa analysis hizi
Lakini ni ukweli mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app