Aina za husband

Aina za husband

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
AINA ZA HUSBAND
1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake

2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele
3. Slave Husband - Huyu anataka umnyenyekee kama mfalme yaana ni kama Mungu mtu
4. General Husband - Huyu ni kiwembe aka anawanawake wengi kupita maelezo
5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje
6. Asprin Husband - Huyu anataka shida zake zote mkewe ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo
7. Parasite Husband - Huyu ni tegemezi aka Marioo
8. Baby Husband - Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa mkewe
9. Visiting Husband - Huyu hataki kujua familia imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa hata siku tatu
10. Caring Husband - Huyu ni mwenye kujali familia na kuitunza kwa kila jambo
WW uPO KUNDI LIPI???/
 
Bado haijawa complete bhana, kuna aina ya husbands ambao ni mchanganyiko eg caring but acidic, etc etc!

anyway mm sio husband, sipo popote am a chief bachellor!
 
AINA ZA HUSBAND
1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake

2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele
3. Slave Husband - Huyu anataka umnyenyekee kama mfalme yaana ni kama Mungu mtu
4. General Husband - Huyu ni kiwembe aka anawanawake wengi kupita maelezo
5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje
6. Asprin Husband - Huyu anataka shida zake zote mkewe ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo
7. Parasite Husband - Huyu ni tegemezi aka Marioo
8. Baby Husband - Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa mkewe
9. Visiting Husband - Huyu hataki kujua familia imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa hata siku tatu
10. Caring Husband - Huyu ni mwenye kujali familia na kuitunza kwa kila jambo
WW uPO KUNDI LIPI???/

Hii namba tisa (9) kidogo inanipa mashaka kama kuna mwanaume wa namna hii..., yaani nyumba zote hizi mjini na vijijini yeye alale nje? Aaagh...., hapana lazima atakuwa na gonjwa akilini tu!
 
Numeber 9 kama hana Sifa Number 2 na 3 Bado Hatoshi
 
Hiyo namba 3, aina na maelezo haviendani,u could 've used another word....ulivyosema 'slave husband' nilitegemea utasema yeye ndo anamnyenyekea mkewe... But ni mtizamo wangu.... C unajua ndo mambo ya binadamu hayo!!
 
Back
Top Bottom