Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,954
Mm nna hasira ila live sna uwezo wa kujieleza nabaki kimya ila kwny sms namwaga povu km lote .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo huwa siwajibu hadi hasira ziisheMm nna hasira ila live sna uwezo wa kujieleza nabaki kimya ila kwny sms namwaga povu km lote .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ambao tuna namba zaidi ya moja[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Nachukua namba tatu tofauti tofaiti hapo[emoji134]
Nachukua namba tatu tofauti tofaiti hapo[emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namba mbili mimi
Mwite huenda ni #7Kuna mtu natamani kujua akikasirika anakuaje ngoja ni mtag
Hapo ntakaa bar[emoji482][emoji481] hadi nite nikute umelala[emoji42][emoji42][emoji42]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] punguza kusema sema saaanaHuwa naongea acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawaomba ushauri[emoji848][emoji848][emoji848]Kuna wale wakikasirika wanaanza kuwapigia simu ma ex zao.
Namba 7Nimeshangaa sana,hamna hata ambaye hasira zinakimbilia kwenye papuchi kumfanya atamani kuliwa