Hiyo namba NNE.ilikuwa inatokea kwa my partner Wangu wa class UDOM those days,nikawa nachat nae but one day Mme wake akaja kumcheki maana kammiss,ile usiku Mme kachukua simu yake kusoma msg anazikuta zangu sasa timbwili likaja alipoulizwa nani huyu.,,,dah aliingia period mda huo,,,,na mchezo ukaisha Mme kaenda kulala stand,,bafupisha coz ni bonge LA story. So mleta mada izo kweli zinatokea kila MTU ana zake style.