1xbet Sports - EA
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 789
- 729
Samanani naomba nijue ni aina gani ya camera kwa ajili ya picha mgando tu inafaa zaidi, nataka nianze biashara lakini nashindwa ninunue aina gani.

Asante, bei yake inaanzia ngapi?Unaweza kuanza na nikon D40 itakusaidia
Laki tatu mfukoni.Una shilingi ngapi mfukoni? Tuanzia hapo