Aina za bati za Alaf na bei zake(msaada)

davetz 23

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
222
Reaction score
335
Habari za majukumu ya kila siku,nisiwachoshe kama kichwa kinavyojieleza nataka kununua bati za kampuni ya Alaf.Tatizo nina shida ya kutofautisha aina za bati za COVERMAX na MAX COVER.
Sijui tofauti yake ni nini na faida ya kila aina.Nataka kununua kilicho bora shida sijui tofauti ya majina hayo mawili na umadhubuti wake
Nategemea msaada wenu.
Asante sana
 
Nenda Alaf kiwandani mkuu!,kanunue huko na utapata ufafanuzi pia.
 
As far as i know,
Cover max na max cover yote ni mabati ya migongo mipana, yote ni viwango vya rangi isio pauka. tofauti ni
1. Max cover inaupana wa mita moja wakati covermax inaupata wa cm 80 (common width)

2. Max cover inaanzia gauge 28,hakuna g 30, ila covermax unapata nadhani hafi g32.

3. Maxcover haiuzwi kwa bando, unaamua ukatiwe mita ngapi ngapi, unaweza taka bati zako ziwe na urefu wa mita 3 hadi mita sita lakini covermax ni urefu wa fixed, yaani mita 3, na huuzwa kwa bando ambapo bando inakaa bati 12,

4. Bei ya max cover imechangamka kidogo kuringanisha na covermax, for obvious reasons.

Ila mimi sio staff wa Alaf,kwa maelezo zaidi ni rahisi, fika kiwandani maeneo ya TAZARA, epuka matapeli pale kwenye vile vibanda, utauziwa bati feki.
 
Nashukuru sana mkuu walau nimepata mwanga,nilikuwa napitia nwebsite yao kuna bei lakini hakuna maelezo ya kutosha
 
Nategemea pia kupata uzoefu kwa walionunua na kuezeka kwa kutumia bati miongoni mwa bati hizo
 
Kuna mwenye uzoefu pia wa bati za rangi za kiboko? Maana wengine wanazisifia
 
Habari za majukumu ya kila siku,nisiwachoshe kama kichwa kinavyojieleza nataka kununua bati za kampuni ya Alaf.Tatizo nina shida ya kutofautisha aina za bati za COVERMAX na MAX COVER.
Sijui tofauti yake ni nini na faida ya kila aina.Nataka kununua kilicho bora shida sijui tofauti ya majina hayo mawili na umadhubuti wake
Nategemea msaada wenu.
Asante sana
Tembelea ofisi Za ALAF Zilizo karibu nawe mikoa ya Mwanza, Mbeya Arusha, Dodoma na Makao makuu Dar es salama.

Au piga simu hizo hapoo Chini Kwa huduma ya uhakika na salama

Nashukuru sana
 
Naipenda rangi ya bati ya karoti lakini nimeambiwa inapauka haraka sana,msaada tafadhali wenye uzoefu na rangi hizo za mabati
 
Back
Top Bottom