Mkuu uliyoandika hapo ni upuuzi mtupu.Ninao ushahidi mwingi ulio wazi kwamba watu ambao hawapendi chanjo ni wale ambao wana akili,ni wadadisi na wanapenda sana ku-research on many issues,they do not take anything at face value.Infact Mr Global,the NWO cabal or the Davos Group wamesema wazi,yetote atayaye kubali chanjo ni stupid,loon and idiot,kwa hiyo anastahili kupunguzwa.Labda ukisoma na kusikuliza hizi clips utajitambua uko wapi.So unataka kuniambia hao wazungu wanaoandama kupinga chanjo hawajasoma,Prof.Mike Yeadon aliyekuwa Vice President wa Pfizer hajasoma,wewe ndiye umesoma.Mimi hapa ni Microbiologist nime specialize kwenye Virology,na napinga hicho kinachoitwa chanjo kimakosa.It ia simply not a vaccine,it is a poison,a DNA operating system and much more.
View attachment 1884015
View attachment 1884016
Unazungumzia chuo chenye dawa ya corona. Yaani potion ya kutibu virus.Unapoongea kuhusu jambo fulani lazima uwe Umefanya Sensa ya kutosha.Mimi nipo SUA juzi kulikuwa na Kampeni kabambe ya chanjo lkn Idadi ilikuwa ndogo Sana, wakati Chuo hiki kina Watumishi Wanataaluma karibia 1000, Maprofesa zaidi ya 100,lkn waliojitokeza ni chini ya asilimia 40%.
Ukitoa tu namba 2,zingine zote umenipataYani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
Gwajima ni mjingaUmeeleza Uongo mtupu kwa maana hata Gwajima anavyo vyote hivyo....
1. Ana elemu..kwa maana ni DR
2. Ana ajira kwa maana ni Mbunge na Ni Askofu
3. Ni Mlokole
4. Anasafiri nje mara kwa mara
Kwenye list yake alisaahau:Mleta maada ameeleza vipengele ambavyo amesema wanaopinga chanjo hawana...
Lakini Bishop Gwajima anavyo vyote hivyo...
Ni msafiri mara kwa mara USA , Asia, nk
Ana elimu,
Ana Fwedha
ana Ajira ni Mbunge na Askofu
Na bado anapinga chanjo
SawaUnazungumzia chuo chenye dawa ya corona. Yaani potion ya kutibu virus.
Sidhani kama hao maprofesa wana uelewa. They are not enlightened.
Ukitukanwa utaaanza kulia lia, mbwa weweYani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
mara nyingi wanaojivunia elimu utakuta ni wale wenye elimu za kuung na super glue.Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
Gwajima hana elimu. Ni mbabaishaji tu. Kujua kiingereza siyo elimu. Na huwo ''udokta'' wake ni fake. Pia ajira yake inategemea uzwazwa wa watu wengine. Wakijanjaruka watu wengi nakuhakikishia atakuwa choka mbaya sana.Mleta maada ameeleza vipengele ambavyo amesema wanaopinga chanjo hawana...
Lakini Bishop Gwajima anavyo vyote hivyo...
Ni msafiri mara kwa mara USA , Asia, nk
Ana elimu,
Ana Fwedha
ana Ajira ni Mbunge na Askofu
Na bado anapinga chanjo
Wewe je haumo kwenye kundi hili?Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
Kuna watu maishani kwao hawajawahi hata kuugua mafua, malaria wala homa... chanjo tenaYani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
hiyo namba mbili umelenga mle mle.Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
Watu wengi waliogopa kuwa chanjo imefanyiwa utafiti kwa muda mfupi lakini baadhi ya wataalam wamejibu kuwa chanjo zilizofanyiwa utafiti MIAKA 17 iliyopita za kirusi cha SARS kilichoibua homa ya mapafu mwaka 2003 ulaya na MIAKA hiyo hiyo Saudi Arabia zimesaport Chanjo ya kirusi hiki cha SARS COVID 2 kuwa fanisi kwani virusi HIVI ni jamii moja.Unapoongea kuhusu jambo fulani lazima uwe Umefanya Sensa ya kutosha.Mimi nipo SUA juzi kulikuwa na Kampeni kabambe ya chanjo lkn Idadi ilikuwa ndogo Sana, wakati Chuo hiki kina Watumishi Wanataaluma karibia 1000, Maprofesa zaidi ya 100,lkn waliojitokeza ni chini ya asilimia 40%.