Aina ya Wanawake wanaopendwa na wanaume Duniani!

Last edited by a moderator:
Utaonekana saa ngapi weye Husninyo saa zote uko busy na fukufuku na manyonyo yako lol!!!! Hahahahahahah

hahahhhaaaa!!! fukufuku walikuwa wananipotezea muda tu. manyonyo hayajawa makubwa wala nini.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Toka mwaka huu uanze leo ndo umeongea point
 

Upo sawa mkuu.:thumbup::thumbup:
 
Ndoa ni mpango wa Mungu, wapo wa namna hiyo na wanateseka tu kwenye ndoa zao.
 
umeona eeh! wanaume wanaogopa changamoto kutoka kwa wanawake wenye misimamo.
Changamoto tunakabiliana nazo bhana,wee hujaona ile thread ya mzungu na patner wake mpaka kampeleka hospitali kwa raha zake?
 
hivi unasemaje niliye nae ananitosha wkati huyo mtu ni mzigo .... kiukweli am waiting for Mr right ambae ana hela ndio nitasema hivyo.....

Hahahahaaaaa miss famba unanichekesha na msimamo wa madolari! Hata huo mzigo unatakiwa useme unakutosheleza na wala si mzigo! Akili za kushikiwa hizi!
 
mwanamke wa aina hiyo anaweza pata mshikaji ambaye baadae akaja akamtenda na hapo mcharuko ndipo unaanzia

kweli kabisa, maana wakati mwingine wanaume ndio wanawabadilisha wanawake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…