Aina ya mwanamke anayestahili "kuolewa"

Aina ya mwanamke anayestahili "kuolewa"

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Posts
124
Reaction score
71
Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama Miss Utalii na Makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi...Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX
Ndo maana utashangaa kusikia Mr X amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa demu wa 'kawaidaaaa' mwenye sura kama amepiga chafya isiyotarajiwa halafu unaanza kujiuliza huyu Kaka amekosa nini..Hajakosa kitu...amevumbua dhahabu.Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI...MSHAURI...MBEMBELEZAJI...MTIA MOYO...MWENYE MAONO....Sio Mwanamke anajua Club zote mpya ilizofunguliwa Wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mmewe ku-acquire Land.
Utashangaa na mkalio wako kama dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa bishosti hajawahi kuvaa kipedo tangu azaliwe,anavaa charanga.
Kama unadhani Shepu ni mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta...Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu Vina Akili na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama Mtazamaji kwa sababu HUOLEKII jirekebishee.
 
THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX..........

haya kaka..............
 
Napenda makalio jamani, yaani makalio tu jamani...!!
 
Life is crazy brother. Kuna mtu keshanunua hizo plot kajenga, kajiendeleza na ana pesa mbaya. He doesn't need kupikiwa wala kushauriwa. All he needs is a beautiful woman.
Mwingine kampendea "behind" tu mkewe mwingine just a smile. Mwingine hana hata huo muda wa kutegemea hizo heshima.

Mfano msichana anayetafutwa na Roma Abromavich ni ushauri gani huyo billionea atatafuta kwake kwa mfano? He doesn't need a cook, he doesn't a house keeper. he has lots of those. Wengine hata hawahitaji watoto wanao wa kutosha na walezi wa watoto wako!
My point is, sometimes we all don't look at set of common things in women we marry and point two is every person is just who they r, take it or leave it!
 
Kama ipo IPO tu,hujui wanaume nao mmetofautiana???!!
No wonder ndoa zona shida mnalazimisha mabinti wawe na tabia 'flani'
Enewei..ts a combination of factors...
Sasa we jikalishe ndani dailu unamsubiria husband material uone kama utaolewa,u need 'EXPOSURE'
 
Life is crazy brother. Kuna mtu keshanunua hizo plot kajenga, kajiendeleza na ana pesa mbaya. He doesn't need kupikiwa wala kushauriwa. All he needs is a beautiful woman.
Mwingine kampendea "behind" tu mkewe mwingine just a smile. Mwingine hana hata huo muda wa kutegemea hizo heshima.

Mfano msichana anayetafutwa na Roma Abromavich ni ushauri gani huyo billionea atatafuta kwake kwa mfano? He doesn't need a cook, he doesn't a house keeper. he has lots of those. Wengine hata hawahitaji watoto wanao wa kutosha na walezi wa watoto wako!
My point is, sometimes we all don't look at set of common things in women we marry and point two is every person is just who they r, take it or leave it!

Upo sawa kabisa..watu hawaelewi kama wapo wanawake na wake..wapo ambao wanataka wake na wapo pia wanaohitaji wanawake..muoaji ndo hukosea pale anapohitaji mwanamke ambae ni mke na kuoa mwanamke.
MKE ni yule ambae ana in-born.characters za kuwa na mwanaume ambae ni MUME na anajua yanayompasa kama MKE.
MWANAMKE ni yule ambae hana uhakika kama atakua MKE ama la..wengi hutafuta namna za kujiremba ili kuwa mvuto kwa wanaume..wengi ya wanawake wa jins hii hawapendi kuolewa ukimwambia unaomuoa mnakosana..sasa ikitokea sasa kaolewa na.mwanaume aliedhania ana sifa za kuwa Mke kumbe la..ndo hapo matatizo huanza..kwani muda wa kuwaza plot za mashamba hana..yeye ni kuwaza gari mpya..fashion mpya n.k na kama unavyosema wapo wanaume ambao huhitaji wanawake warembo wenye mvuto haswa wa kuwafanya waonekane haswa wanapokua nao..na wengi wa wanawake hawa ni watu maarufu kwenye jamii...
 
Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama Miss Utalii na Makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi...Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX
Ndo maana utashangaa kusikia Mr X amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa demu wa 'kawaidaaaa' mwenye sura kama amepiga chafya isiyotarajiwa halafu unaanza kujiuliza huyu Kaka amekosa nini..Hajakosa kitu...amevumbua dhahabu.Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI...MSHAURI...MBEMBELEZAJI...MTIA MOYO...MWENYE MAONO....Sio Mwanamke anajua Club zote mpya ilizofunguliwa Wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mmewe ku-acquire Land.
Utashangaa na mkalio wako kama dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa bishosti hajawahi kuvaa kipedo tangu azaliwe,anavaa charanga.
Kama unadhani Shepu ni mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta...Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu Vina Akili na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama Mtazamaji kwa sababu HUOLEKII jirekebishee.

MI hizo ndo sifa ninazotaka sasa!!

halafu baadae aongezee na hizo nyingine ulizotaja!!

we unadhani hao wazuri walizaliwa waolewe na mbwa ama simba?

hakuna mwanamke aliezaliwa na tabia mbaya, they are made by other people!!!

mwanamke mzuri ndo pambo la nyumba!! hata mfalme sulemani alimwimbia mpenzi wake mpaka kurasa za kitabu cha wimbo ulio bora zikajaa!!! hao hao ndo wetu!!

tutawaoa na uzuri wao!!!
 
Mmmhh...nyie mtu mnanishangaza sana, why mnaogopa wanawake wazuri? Ni kwamba wanawake wazuri wote wanatabia zinazofanana? Na hao mnaowaita wabaya kwani club hawazijui? Tabia ya mtu ni jinsi alivyolelewa na makuzi yake kwa ujumla,sio uzuri wa mtu.
 
Mwanaume hahitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama Miss Utalii na Makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi...Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX
Ndo maana utashangaa kusikia Mr X amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa demu wa 'kawaidaaaa' mwenye sura kama amepiga chafya isiyotarajiwa halafu unaanza kujiuliza huyu Kaka amekosa nini..Hajakosa kitu...amevumbua dhahabu.Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI...MSHAURI...MBEMBELEZAJI...MTIA MOYO...MWENYE MAONO....Sio Mwanamke anajua Club zote mpya ilizofunguliwa Wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Madale ili amshauri mmewe ku-acquire Land.
Utashangaa na mkalio wako kama dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa bishosti hajawahi kuvaa kipedo tangu azaliwe,anavaa charanga.
Kama unadhani Shepu ni mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta...Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu Vina Akili na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama Mtazamaji kwa sababu HUOLEKII jirekebishee.
Mithali 11:22 "Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe,Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili."
 
Mwanamke sura tabia hata Mbwa anayo!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom