Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
si mnataka msiuziwe mbuzi guniani nyie, y utegeshewe mimba , kwani hujui kuzuia
sure,ila tuzingatie maadili ya dini zetu,tusizini,
si mnataka msiuziwe mbuzi guniani nyie, y utegeshewe mimba , kwani hujui kuzuia
Kitanda hazard haram bwana. hiyo ya DNA ya wazungu!!!!!Ya kwanza: Ni ile mwanaume kampenda mwanamke na kaona njia rahisi ya kuendelea kuwa karibu na mwanamke huyo ni kumuoa. Na mwanamke kwa kulazimishwa na mazingira anakubali kuolewa.
Ya pili:Ni ile mwanamke anampenda mwanaume na kaona njia rahisi ya kuendelea kuwa karibu naye ni kumganda mpaka aolewe. Na mwanaume kwa kulazimishwa na mazingira anaamua kuoa.
Ya tatu na ya mwisho: Ni ile mwanaume na mwanamke wote wamependana na wameamua kuoana na kuanzisha familia.
Sasa hizi ndoa mbili za mwanzo ndo zinafanya wanaume walio wengi walee watoto wasio wao, maana mwisho wa siku mwanaume au mwanamke bado atahitaji kuchepuka ili kujiridhisha.!!!!
Tujadili kwa uwazi.
Kama ni mwanaume na unahisi ndoa yako inaangukia kundi la kwanza au la pili basi nakushauri ujiwekee utaratibu wa kupima vinasaba(DNA) kila ukibahatika kupata mtoto!!!!!!!
Nawasilisha
Naomba ndoa yangu iangukie type number 3 Amen
Naomba ndoa yangu iangukie type number 3 Amen
Huwa najiuliza kwanini mara nyingi yule mtu uliyempenda sana na ukafanya naye mipango mingi unajikuta humuoi/ olewa naye? sababu huwa nini? nimewahi kuongea na wana ndoa wengi aidha mwanamke au mwanaume anasema mimi huyu mwanzoni hata sikumpenda sikufikiria kama ningemuoa/ olewa naye, lakini cha ajabu hizo ndoa ndio zinadumu nyingine zina miaka hata 30, lakini wale walopendana kwa dhati hadi kila mtu alijua mara nyingi ndoa zao huwa hazidumu na zikidumu huwa na misukosuko sana, hivi sababu ya yote haya ni nini ?
Naomba nijaribu,unakuta unaye mpenda hazungumzii suala la kukuoa yaani humuelewi na wkt huo huo ww una hamu ya kuwekwa ndani,au muda mwingine kuwa katika uhusiano wenye ugomvi kila kukicha huku mapenzi yako yako hapo ila uaona kama uvumilivu unakushinda na anatoke mtu ambaye haujapenda insuch but anaonekana kuwa faraja kwako na yuko tayar kwa lolote juu yako,unashawishika na pesa na zawadi kedekede.....kuna msemo unasema women they dont know what they want until they see it unaweza kuwa applicable hapo sijui nimekushawishi?Hapo pa kulazimishwa na mazingira hapo,nasubiri ufafanuzi!!!!
Mazingira yanilazimishe kuolewa na mtu nisiyempenda!!!!
Hayo mazingira ni katili sana
Binadamu tunapanga na mungu anapanga pia na mungu yuko sahihi kuliko binadamu na siku zote ukilazimisha ndo zile ndoa wanaziita big jiiiiiiiiiiHuwa najiuliza kwanini mara nyingi yule mtu uliyempenda sana na ukafanya naye mipango mingi unajikuta humuoi/ olewa naye? sababu huwa nini? nimewahi kuongea na wana ndoa wengi aidha mwanamke au mwanaume anasema mimi huyu mwanzoni hata sikumpenda sikufikiria kama ningemuoa/ olewa naye, lakini cha ajabu hizo ndoa ndio zinadumu nyingine zina miaka hata 30, lakini wale walopendana kwa dhati hadi kila mtu alijua mara nyingi ndoa zao huwa hazidumu na zikidumu huwa na misukosuko sana, hivi sababu ya yote haya ni nini ?
mh!hilo nalo neno mtoa mada na wengi tunaangukia hapo pa kwanza na pili hapo kisa shosti kaolewa na mi tena niweke heshima kitaa matokeo hua mabaya tubadirike katika hili.