Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,756
- 15,554
1. Rafiki wa maisha (or confidence)
~ Huyu ni rafiki ambae ikitokea mmekua wapenzi basi utajisemea I married my best friend.
huyu ni rafiki ambae ukikosea haogopi kukukosoa na kukuelekeza mbele ya uso wako,
huyu ni rafiki ambae ukiwa haupo anakusemea mazuri.
Anakuwa rafiki yako kwasababu anakupenda.
na huwezi kumkuta akiwa karibu na adui zako, kwani anakuwa upande wako muda wote.
ni rafiki ambae anakuwa na wewe katika kila hali na kila msimu wa maisha,
hakutafuti kwasababu ana shida hata hakiwa hana shida anakutafuta,
kumbuka kila mahusiano hujengwa na mazunguzo
2.Rafiki wa sababu.
Atakuwa na wewe kwa sababu fulani, ajenda yake ikiisha humuoni tena,
Anaweza kuwa karibu na wewe kwasababu anahitaji wafuasi na kusikilizwa, siku akipata mwingine zaidi yako basi atakuacha.
huyu ni rafiki ambae atakutafuta akiwa na shida, atakuwa na wewe kwa sababu ya vitu unavyomfanyia na kumpa,
huyu ni rafiki ambae yupo upande wako kama tu mambo yako yanakwenda vizuri, mambo yakienda tofauti humuoni.
Mfano ukianguka au kushuka katika kitu fulani, anaweza kwenda upande mwingine ambao anaona kuna faida zaidi.
Huyu ni rafiki ambae anaweza kutupa kila aina ya mawe na maneno ya chuki kwa wengine kusudi tu aweze kuaminika zaidi kwako.
Mala nyingi kile ambacho alikitaka kwako akikipata au kuisha basi hutamuona tena, na mala nyingi atakuacha kwenye hali ambayo mambo yako yameharibika.
3. Rafiki wa nyakati.
Huyu ni rafiki ambae kipindi ambacho nyakati au msimu wako wa maisha unapo badirika basi humuoni.
huyu ndie rafiki hukaa kwa kipindi kifupi sana,
Tunafahamu maisha yana nyakati nyingi kwahiyo kuna nyakati fulani huvuta watu fulani kuwa karibu na wewe na
mwisho nyakati zikibadilika na marafiki hao hupotea.
Usije ukawekeza kwa rafiki kama huyu, kwani mwisho ni rahisi kukugeuka pia.