Aina tano za wanawake wa kuepukwa

Aina tano za wanawake wa kuepukwa

Aina tano za wanawake wa kuepukwa na wanaume;

1. Walevi
2. Wazinzi
3. Wachawi
4. Wagomvi
5. Wasio tii

Sababu:

Mwanaume anazaliwa na mwanamke,analelewa na mwanamke,anamuoa mwanamke,anaanzisha familia yake na mwanamke ivyo hakuna maisha ya mwanaume bila mwanamke.

Niongeze Sauti Au Inatosha?

Tumekuskia amor

Cc Kingsmann
 
MWANAMKE MWIZI ANAFAA KUOA MKUU?
 
*Mwanamke limbukeni wa utandawazi asiyepitwa na kitu chochote.

Wapenda HAKI SAWA wanaotaka 50% kwa 50% kimgawanyo lakini majukumu yote humtwisha Mwanaume katika ndoa(CHANGU NI CHANGU ILA CHAKE NI CHETU)
 
Naskia harufu ya Kungwi Marrianah na timu yake Saint Anne wakija haraka sana hapa kwa spidi ya 5G...
 
Wenye kupenda kukagua simu za waume zao tukienda kuoga
 
Mimi Nina kadem kachawi knoma.Siku nilipogundua tabia zake nikataka nikaache, sijui kalijuaje? Maana kalinifanyia mauza uza ikabidi niwe mpole nikakaomba msamaha yakaisha. Kwa sasa kameniganda kama gundi,kashenzi sana
 
Hahaahahaha ngoja kasome APA sasa utakoma
Mimi Nina kadem kachawi knoma.Siku nilipogundua tabia zake nikataka nikaache, sijui kalijuaje? Maana kalinifanyia mauza uza ikabidi niwe mpole nikakaomba msamaha yakaisha. Kwa sasa kameniganda kama gundi,kashenzi sana
 
If yo not man eneogh basi epuka mwanamke kabisa.
 
Napenda sana demu mchawi, yani zile ukichepuka tu ashajua na kuanza kupiga simu.... basi raha tu.
 
Back
Top Bottom