Kuna uoka pori huota kwenye mapori/ misitu ile ambayo juu kunafunga, chini kuna kuwa na uwazo na vichaka vichaka, humo utakuta uyoga wa aina tofauti.
.
.Alafu kuna mwingine huota kwenye uwanda wa wazi zaidi kwa kule nyumba uwanda huu huotesha uyoga wa aina mbili tu.