Aina kuu 8 za vitambi, je wewe unacho kipi?

Sio vitambi vyote vinasababishwa na ulaji mwingi! Ila vingine ni matokeo ya kuridhika na hali ulionayo hata kama huli sana.

kwa jinsi nilivyokusoma lazima unakitambi mkuu
 
Hata vipara vipo aina tofauti
 
Kitambi nilichonacho kinaitwa "Chuki kwa CCM"
Aina hiyo ya kitambi unaifahamu?

 

Tofaut ya 5 na 7 ni ipi mkuu...
Nadhan huu ni mtazamo wako tuu amna ukwel wowote
 

Weka na picha mkuu ili nione kitambi changu kinaangukia kundi lipi
 
Jf ni kipimo kingine cha ulofa na upumbavu wa watanzania.Leo tunajadili vitambi lo!.
 

Kitambi cha vitimbi, Kitambi cha mikasa, Kitambi cha uchawi... Usivisahau na hivi pia
 
Weka na picha ili tuchague jibu sahihi. Ila mimi cha kwangu naona ni cha utumishi hemani mwa Bwana! Injili iende mbele!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…