Aina ipi ya simu zitakazo fungiwa

Aina ipi ya simu zitakazo fungiwa

wenzao huko kwa mzee jomo keyatta walitoa taarifa na kuwapa watu muda. hapa ni kama zima moto tu, na hao waliokopa benki wakafungua maduka ya chung chang huko kariakoo na kwingineko si wataumia mbaya.
 
damit!! wakizima thatha nitaingiaje jei efu!! ....... wafanye mpango wayazime na haya makalio ya kichina huku mtaani! 2mechoka kuachia boxer ze2 madoa.
 
Tecno mm nimeijulia hapa Tanzania, nje hakuna huyo mdudu labda china

Uganda ,Kenya ,Southern Sudan soko la TECNO ni kubwa sana ukipita kwenye maduka ya simu ndio bidhaa iliyojaa na stika za matangazo utafikiri ndio eneo la kiwanda
 
Back
Top Bottom