tittle imejieleza, naomba mwenye ufaham anijuze vzuri je ni simu zote za kichina au baadh, maana mi ninayo tecno,t451 sa cjui nayo pia itafungiwa au lah!
pole sana kijana kwa simu kama tecno haziwezi kuzimwa maana hiyo company inajulikana worldwide.....simu zitakazo zimwa ni zile ambazo ata kampuni zake hazijulikani.....mfano unaweza kuta simu ya kichina imewekwa stika ya nokia na nyingine nying ambazo hazijulikani.....kule china kuna kampuni nyingi sana zinatengenezwa simu bila lisences hata taifa la china lenye halizijui.....simu znatengenezwa kwenye vikampuni vidogo vdogo visivyo na usajili.....cha msingi ni kuepuka simu zisizo na majina ya kueleweka.
Kwani zinazima simu ama tv za vichogo? Hii blackberry yangu yenye line 4 sijui itakuwaje sasa.
Kwani zinazima simu ama tv za vichogo? Hii blackberry yangu yenye line 4 sijui itakuwaje sasa.
Blackberry line 4? Teh teh teh teh teeeh.Kwani zinazima simu ama tv za vichogo? Hii blackberry yangu yenye line 4 sijui itakuwaje sasa.
Hivi hili zoezi lipo kweli?
Mi nitaamini pale tu nitakapoona!