Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Kusema kweli mie mwanamke wa vipodozi vilivyopitiliza hapana kwakweli daaaah! Unakuta mtu ngozi haieleweki imekuwa kama kaa la moto linalowaka, midomo myekundu kama kalio la ngedere, nywele kama simba dume lililokomaa, mikucha kama mkaba watu, uso kama maiti iliyoandaliwa kwaajili ya kutolewa mochwari looooh!
 
Inasikitisha sana unapojifanya una machaguo wakati hata kuumba hujui. Mapenzi yanajumuisha vitu vingi na sio maumbile pekee.

Hivyo pole kwa kuchelewa kulijua hilo.
Kwangu mapenzi nyanaanza na maumbile na maumbile ndio kigezo kikuu, hayo mengine ni yako. Usitake mimi nifanye unachokiwaza wewe, kila mtu ana upendeleo wake kwenye mambo yake.
 
Sio kila kitu ni mungu tu, hata biology tuliosoma sekondari miaka mingi iliyopita hukuielewa, Mambo ya AA, Aa, aa hukuyaelewa wewe? Wazazi warefu mtoto mbilikimo atoke wapi?

Nishasema haya ni maoni yangu binafsi.
 
Unajmkuta mtu yuko kama sufuria ya kupikia, haeleweki wapi mbele wapi nyuma.
 
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…