Aina hii ya nyoka wapo Tanzania?

Kwa ujumla Tz imebarikiwa karibu kila aina ya viumbe wapo, hawa nyoka ni balaa sema Mungu tu ndiyo huwa anatulinda basi.
 
Nadhani unachanganya na black mamba (koboko), Cobra sumu yake si kali sana na wengi wamepona ila huyo black mamba kupona ni vigumu ila inawezekana .

Black mamba huwezi kupona
 
Nadhani unachanganya na black mamba (koboko), Cobra sumu yake si kali sana na wengi wamepona ila huyo black mamba kupona ni vigumu ila inawezekana .

Swila yupoje?
 
QUOTE="topr, post: 18905378, member: 200148"]Wanafanana na USO wako[/QUOTE]
Ni kweli kabisa!
 
Nawapenda hawa viumbe. ..
 
Mchizi we ni chizi
Ulichosema si kweli nyoka wengi wanao uwezo kutema mate, swila si cobra.
Wewe bwege google ni bure,andika cobra in swahili halafu njoo na jibu.swila ndiyo cobra .na wala sijasema nyoka wengine hawatemi mate,ila cobra huvimbisha shingo akitema mate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…