K kuruga Member Joined Dec 4, 2016 Posts 13 Reaction score 2 Jan 8, 2017 #1 habari ndugu watanzania wenzangu, nataka kununua sabufa au homu thieta yenye mdundo mkali,je ni aina gani nzuri na kiasi gani cha pesa?
habari ndugu watanzania wenzangu, nataka kununua sabufa au homu thieta yenye mdundo mkali,je ni aina gani nzuri na kiasi gani cha pesa?
jiwekuu770 JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 2,246 Reaction score 1,646 Jan 8, 2017 #2 Nunua Home theater ya Lg ....bei 785000/= ukienda ofc za lg ....ni hatari na warranteee ya mwaka
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,810 Reaction score 40,567 Jan 8, 2017 #3 bajeti yako shingapi.
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,810 Reaction score 40,567 Jan 8, 2017 #4 kama una mil 1.5 tafuta sony 2.0 hi-fi system
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,675 Reaction score 5,131 Jan 9, 2017 #5 troublemaker said: kama una mil 1.5 tafuta sony 2.0 hi-fi system Click to expand... Ndio ikoje hiyo ni dizaini ya sony shake?
troublemaker said: kama una mil 1.5 tafuta sony 2.0 hi-fi system Click to expand... Ndio ikoje hiyo ni dizaini ya sony shake?
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,810 Reaction score 40,567 Jan 9, 2017 #6 ankol said: Ndio ikoje hiyo ni dizaini ya sony shake? Click to expand... ni sony shake, ina nguvu hatari.
ankol said: Ndio ikoje hiyo ni dizaini ya sony shake? Click to expand... ni sony shake, ina nguvu hatari.
bizzle for shizzle JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 1,013 Reaction score 743 Jan 9, 2017 #7 Redio nzuri ni clouds fm au Efm
Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Jan 9, 2017 #8 Mkuu ni pm nikupatie sony Home Theatre ya nguvu watt 1000
Smt016 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,621 Reaction score 5,372 Jan 9, 2017 #9 Dadio said: Mkuu ni pm nikupatie sony Home Theatre ya nguvu watt 1000 Click to expand... Unauzaje?
am a girl JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 748 Reaction score 506 Jan 9, 2017 #10 bizzle for shizzle said: Redio nzuri ni clouds fm au Efm Click to expand... umeniwahi [emoji23][emoji23]
bizzle for shizzle said: Redio nzuri ni clouds fm au Efm Click to expand... umeniwahi [emoji23][emoji23]