Aina gani ya redio ni nzuri?

kuruga

Member
Dec 4, 2016
13
2
habari ndugu watanzania wenzangu, nataka kununua sabufa au homu thieta yenye mdundo mkali,je ni aina gani nzuri na kiasi gani cha pesa?
 
Nunua Home theater ya Lg ....bei 785000/= ukienda ofc za lg ....ni hatari na warranteee ya mwaka
 
Mkuu ni pm nikupatie sony Home Theatre ya nguvu watt 1000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom