Aina gani ya PC ni nzuri kwa 3D rendering?

Izy_Name

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2020
Posts
1,061
Reaction score
2,556
Ni mashine ipi ni Kali na ipo speed kwenye 3d rendering kwa program Kama blender 3d na wenzake na yenye Bei ya kiTanzania. Maana natumia mashine yenye core i5 gen 3 ipo slow sana ingawa bado najifunza Ila kwa nilipo fikia naona siwezi kwendanayo maana kwasasa mimi sio beginner na siwezi kuwa Pro na hii mashine.

Kwasasa najichanga changa niagize no matter ni mpya au used
 
Mashine yoyote yenye dedicated graphics kadi nzuri especially za nvidia, kwasababu blender 3.0 ime-improve render engine ya cycles x na kupunguza renter time zaidi ya nusu, lakini wanao enjoy hio ni wenye graphics card za nvidia kwa sasa. Ukiwa na hela ndogo chukua gtx960 au ukiwa na hela ya kati chukua pc yenye 1660 au kama una hela ndefu chukua yenye gtx 1080,2060 kwenda juu.
 
Ni mashine ipi ni Kali na ipo speed kwenye 3d rendering kwa program Kama blender 3d na wenzake na yenye Bei ya kiTanzania. Maana natumia mashine yenye core i5 gen 3 ipo slow sana ingawa bado najifunza Ila kwa nilipo fikia naona siwez kwendanayo maana kwasasa mimi sio beginner na siwez kuwa Pro na hii mashine. Kwasasa najichanga changa niagize no matter ni mpya au used
Nunua Macbook yenye m1 chip. According to benchmarks ni nzuri kwa rendering
 
Hapa nilipo natumia Macbook pro 13 ni intel core i5 3xxx nawaza nikapige bei nitafute pc nyingine
Kwanini? Apple kawapiga chini intel kaona wanazingua wanatengeneza processor zinatafuna umeme na kuzalisha joto kama pasi 🤣🤣
 
Ni mashine ipi ni Kali na ipo speed kwenye 3d rendering kwa program Kama blender 3d na wenzake na yenye Bei ya kiTanzania. Maana natumia mashine yenye core i5 gen 3 ipo slow sana ingawa bado najifunza Ila kwa nilipo fikia naona siwez kwendanayo maana kwasasa mimi sio beginner na siwez kuwa Pro na hii mashine. Kwasasa najichanga changa niagize no matter ni mpya au used
Wewe unahisi budget yako itakuwa range gani?
 
400k-600k apo vp
Huwezi pata mkuu itakayo upgrade toka gen ya 3.

Intel gen ya 3 mpaka ya 7 zote i5 na i7 ni dual core na thread 4.

Kuanzia gen ya 8 ndio wali double core zikawa core 4 na thread 8. Hua video editing na rendering zinapenda sana core nyingi.

Hivyo mkuu angalau kabisa utafute i5 gen ya 8 iwe na dedicated gpu hata lowend utaona improvement. Ila i doubt kwa laki 6 utapata labda kama laki 8 hivi used ama 7.

Alternative Tafuta Desktop, hio budget ni kubwa kwa desktop, i7 gen ya 2 mpaka ya 7 will be huge upgrade ukitupia na gpu used toka Aliexpress umemaliza kazi.
 
Je ni vyepesi kupata Desktop yenye uwezo mkubwa kwa bei ndogo kuliko pc
 
Ndio desktop kikawaida zina nguvu kuliko laptop na upatikanaji ni mrahisi.
Poa kuna desktop flani nazionaga mtandaon lile housing lake linaonesha hadi ndani(Transparent) inatoa mianga flani hivi kwenye processor kama umeisha wahi kuiona sijui zitakua zinafaa
 
Mkuu unafanya animation za aina gani na zina urefu gani? maana animation ni process ya mwisho kabisa.
Kiufupi kama unatumia blender, kwenye modelling, rigging mpaka baking unaweza kutumia pc yoyote kuanzia gen ya 3 yenye kuanzia open gl 3.1 na kuendelea.
Watu wengi wanachanganya, blender unaweza kuchagua kurender kwa cpu au gpu, ukichagua cpu kila core moja itabeba cycle 1, maana yake kama pc yako ni i5 4th gen na kazi yako ina cycles 500 itakuchukua sekunde 125.
Mi nilianza na i5 second gen, walipotoa blender 2.8 ikawa inataka open gl kuanzia 3.1 nikachukua i5 4th gen miaka hiyo.

ushauri wangu; Tafuta desktop kuanzia generation ya 4, ukipata dell optiplex ni nzuri maana unaweza kuiacha hata siku iki render 3 cpu load ikiwa 100. ukishapata desktop tafuta mouse ya mtumba yenye 3d button laini. then fanya kazi ila kama una project kubwa na una kipato basi nunua graphics card maana graphics card ya kukupa matokeo mazuri sio chini ya 1m.

Nimefurahi kuona kijana unapenda 3d.
 
nina ka pc ka core i5 gen3 kanaenda slow alafu na zile blender not respond zakutosha kunawakati nimejipinda kutengeneza vitu vyangu kana kata ghafla
 
Poa kuna desktop flani nazionaga mtandaon lile housing lake linaonesha hadi ndani(Transparent) inatoa mianga flani hivi kwenye processor kama umeisha wahi kuiona sijui zitakua zinafaa
Mkuu angalia specification huo urembo utakuja kuchanganya. Pia gaming pc sio lazima iwe nzuri kwenye blender, unahitaji core nyingi kadri iwezekanavyo kwenye blender wakati gaming inahitaji core chache ama Nyingi ila zenye nguvu.
 
Back
Top Bottom