hiyo dell kaka inapatkana kwa shiling ngap?
ni pm Hp ndo mpango mzima
hiyo Hp ni shiling ngapi. Nataka kujua na vitu vya muhim kama Gb
Second hand or first hand mdau na ukubwa wa Gb mfuko wako tu zipo mpaka telabaty
maishani sijawahi kuona tarakilishi nzuri kama za HP, ziko poa na zinavumilia sana. nakumbuka hii ya Kwangu nilishawahi kuiacha on kwa siku tano na bado mashine inguruma. na kila siku nikiiwasha asubuhi saa mbili huwa naizimaga saa kumi alfajiri na hii ni kila siku. sasa Sijui kwa wenzangu wanaotumia dell, Toshiba na zile zingine labda waje nao watoe ushuhuda wao. ila Mimi binafsi nakushauri tafuta HP
asante kwa mawazo yako nitayafanyia kazi
TOSHIBA satellite ziko poor sana kwenye speaker ! Zinatoa sauti kama! Visimu vyakuchezea watoto !
HP ' boot failure na kuwa blanc screen na muda mwingine battery kuwa over heating ! Motherboards matatizo !
- Apple
- ASUS
- Dell
- Lenovo
- Sony
- Acer
- Samsung
Tafuta acer zpo poa
kati ya samsung, toshiba na hp ipi nzur zaid
Na laki tatu mkuu vipi ntapata hp ipini pm Hp ndo mpango mzima